Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

Uko sahihi lakini ni kwa wale mabinti wano ishi makwao bado wadogo huyo hatuna shida kabisa just imagine Binti anakuomba mia Tano hahahaha RAHA SANA SHIDA MABINTI WALIO ANZA KUWAZA PEDI HAPO NDIO PICHA LINAPO ANZIA
 
Unaweza kusema umaskini ni changamoto kubwa inayochangia mabinti wa kibongo kupenda pesa lakini inaonekana hata kwenye mataifa yaliyoendelea ambako inaaminika wananchi wake angalau ahueni ya kiuchumi lakini nako bado tunaona suala la wanawake kuwa kupe liko palepale.

Aione Seran kwenye jarada kwa taarifa na uchambuzi uliotukutuka wa eneo hili kwa kuwa wewe ni mtaalamu zaidi na mbobezi wa masuala ya kuhonga.
 
Duu huo utafti sijui umefanyika wap? Ina reality kama huna pesa penzi lako lipo hatari kudukuliwa
 
Mmenitunuku lini hicho cheo?
 
Duu huo utafti sijui umefanyika wap? Ina reality kama huna pesa penzi lako lipo hatari kudukuliwa
Utafiti umefanyiwa sehemu mbalimbali hapa duniani mkuu
 
Mwanaume mmoja ajitokeze anipe pesa halafu nimrudishie, nijiridhishe kama unachosema ni kweli..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…