Is this according to research or just hearsay?Hawakusema ukweli wote.
Wanawake wanapenda pesa kuliko kitu chochote. Ndiyo sababu mwanaume akifulia lazima ateseke sana...
View attachment 3681845
Kuanzia leo matembele baasi🤣Pesa ikitoweka ndani ya nyumba ndo umuhimu wake unaonekana
View: https://www.instagram.com/reel/DduIPa9xu1H/?stkn=MXI3YmV2NTI3OGR3dg==
fullstop, ni mwendo wa samaki tuKuanzia leo matembele baasi🤣
Na vingereza vingifullstop, ni mwendo wa samaki tu
Shida ni pale unapojua huyu mtu yuko nawe kwasababu ya pesa, na sio kwamba amevutiwa na muonekano wako, na ana nia ya dhati ya kujenga maisha pamoja na wewe, kwako kajiegesha tu ili apooze njaa, ila kiuhalisia hapendi hata kukuona.Pesa sabuni ya roho. Ukweli ni kuwa ili mmoja ampende mwenzake lazima kuwe na kiunganisho. Ila pamoja na kiunganisho, ndoa au pesa au kazi etc; unahitaji pesa ili akale, akanywe akasafiri na hata kujisopsop. Ndo maana nasema, katika mapenzi, pesa haikwepeki hata kama unadhani anakupa bure. Duniani hakuna kitu kinaitwa Bure. Ukiona kitu ni bure kwako, jua kuna mwenzako anakigharamia.
Ndugu yangu, kitu cha msingi ni kupata pahala ambapo unaweza kuondolea wazungu mwilini mwako. Hakuna urafiki usiyo na faida! Urafiki wowote lazima kila mtu anakuwa na faida toka kwa mwenzie.Shida ni pale unapojua huyu mtu yuko nawe kwasababu ya pesa, na sio kwamba amevutiwa na muonekano wako, na ana nia ya dhati ya kujenga maisha pamoja na wewe, kwako kajiegesha tu ili apooze njaa, ila kiuhalisia hapendi hata kukuona.
Sijui binadamu wengi wa sahivi wana meneji vipi mahusiano ya hivi, maana ni kama mnafanya biashara, na dating for survival ndo trend imehalalishwa na wanawake wengi sikuhizi gwapole Grahams leo dada
Tuanzie hapa, ni kweli ke anahitaji fedha, ila nina swali kwani ke hahitaji kutolewa upwiru? gwapoleKe anahitaji fedha, wewe lazima uwe na fedha ili Ke akuchunuku K yake ili upate medium ya kutolea uhanga wako.
Kwanza mi mnitoe katika wanawake wasiopenda pesa.Shida ni pale unapojua huyu mtu yuko nawe kwasababu ya pesa, na sio kwamba amevutiwa na muonekano wako, na ana nia ya dhati ya kujenga maisha pamoja na wewe, kwako kajiegesha tu ili apooze njaa, ila kiuhalisia hapendi hata kukuona.
Sijui binadamu wengi wa sahivi wana meneji vipi mahusiano ya hivi, maana ni kama mnafanya biashara, na dating for survival ndo trend imehalalishwa na wanawake wengi sikuhizi gwapole Grahams leo dada
Huo utafiti hauwahusu wa huku Malawi...Sitaki kuwapotezea muda kwa maelezo marefu. Kila kitu kiko wazi. Tafiti za mahusiano zilizofanywa na wataalamu wa mahusiano zinaonyesha wanawake wengi hawatazami ukubwa wa pochi, bali ukubwa wa muda unaotolewa . Wengi wanasema pesa sio shida bali umakini na mawasiliano ya kweli ndivyo vinavyogusa moyo zaidi.
Wanaume wengi wamezoea kudhani kutoa hela ni ishara ya upendo, kumbe wengine wanachohitaji ni muda wako tu.
View attachment 3681646
MAONI YANGU
Afadhali sasa ule uwongo uliodumu kwa muda mrefu kuhusu wanawake kupenda pesa sasa umepata ufumbuzi. Kuanzia sasa wanaume wanapaswa kutambua kuwa pesa si chochote si lolote katika mahusiano. Mwanamke anahitaji muda wako tu.
Utafiti huu umekuja wakati muafaka kwani wanaume tulishatumia pesa nyingi sana katika mapenzi pasipo kujua. Kwa kuwa sasa ukweli umejulikana, hii ni ahueni kubwa sana kwa wanaume waliokuwa wanadhani wanawake wanapenda fedha kumbe si kweli. Hadi wanawake wanaitwa "gold diggers" pasipo kujua kwamba hawapendi pesa bali wanahitaji muda tu!
Pongezi za kipekee ziwaendee watafiti waliogundua hili jambo mapema kabla mifuko ya wanaume haijatoboka zaidi. Mungu awabariki sana.
Ni rahisi ke kujitoa uhanga! Maji ya moto au kidole. Tatizo lipo kwa wanaume na si wote. Ni sisi ambao tumeoa.Tuanzie hapa, ni kweli ke anahitaji fedha, ila nina swali kwani ke hahitaji kutolewa upwiru? gwapole
Kabla mwanamke hatakubali dating na wewe, huwa anapiga hesabu zake ni vipi atanufaika na mahusiano hayoShida ni pale unapojua huyu mtu yuko nawe kwasababu ya pesa, na sio kwamba amevutiwa na muonekano wako, na ana nia ya dhati ya kujenga maisha pamoja na wewe, kwako kajiegesha tu ili apooze njaa, ila kiuhalisia hapendi hata kukuona.
Sijui binadamu wengi wa sahivi wana meneji vipi mahusiano ya hivi, maana ni kama mnafanya biashara, na dating for survival ndo trend imehalalishwa na wanawake wengi sikuhizi gwapole Grahams leo dada
Hii ni point muhimu sana. Kila mtu akaisome.Kabla mwanamke hatakubali dating na wewe, huwa anapiga hesabu zake ni vipi atanufaika na mahusiano hayo
Ukitaka hilo lisikukute, oa mke wako mpambane kujenga familia
Lakini ukisema uchepuke, lazima noti zikutoke