Utafanyaje?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafanyaje?!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkeshahoi, Aug 18, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Uko zako uraiani na ushamaliza mihangaiko yako ya kila siku...!!unaangalia taarifa ya khabari unaona rafiki yako, mfano classmate wako wa sekondari, anaonekana ktk TV akitafutwa na Polisi kama mhalifu sugu na mwenye mtandao mkubwa hadi polisi.. na zawadi nono kwa atakayefanikisha kukamatwa kwake!!

  Siku chache, unakutana nae uso kwa uso ukiwa mihangaikoni... anakusabahi..anaonekana ni mtu mstaarabu na mwenye hela... mnabadilishana mawili matatu ila wewe huna amani naye anaonekana hana amani na wewe...!!

  utamuuliza kuhusu habari zake ktk tv...utamsalimisha polisi(kumbuka kuna zawadi nono nawe umifulia)?!:A S 39:
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwanza mbona umeileta hapa hii thread?

  Pili hapo utaonesha busara zako kama ni skendo ya kawaida mpe habari tu, na kama ni mbaya basi ripoti lakini si kwa kutaka hela.
  Hela zitakupeleka pabaya na ni za hivo hivo.

  lakini mara nyingi inategemea na busara yako kumwokoa nduguyo maana hapo ndipo atabadilika vizuri kama nni wa kubadilika.
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Binadam nowdaiz hawaaminiki hata kidogo,unaweza sema usimseme police kesho akakuvamia na kuiteketeza familia yako,to me as long as kashabadilisha maisha yake kawa mtu mwingine asie na maadili ntamripot police tu,dnt forget do the do before the do does u.
   
 4. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitamripoti polisi... sio kwasababu nataka pesa (huo utakuwa usaliti). Nitamripoti kwasababu ya uraia wema...
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  unafahamu maana ya urafiki chief?!:confused2:
   
 6. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitamripiti fasta polisi, Mwizi ni mwizi tu siku yoyote anaweza kukugeuzia kibao hata km ni classmate. Sio tu ili upate zawadi nono ila kuokoa maisha na mali za wavuja-jasho.
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ni roho yako ndiyo imenena haya au just the fingers on the keyboard
   
 8. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wakati huo huo familia yake inakufahamu na inatambua wewe ni mmoja wa marafiki!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kirafiki zaidi....utamwambia/muuliza ili ajue jinsi yakujisaidia!Sidhani kama kuna mtu anapenda kuona rafiki yake akiingia matatizoni!
  Kibinadamu zaidi....itabidi utoe taarifa kwasababu huwezi jua....vile umemuona anaweza akawa na wasiwasi na wewe ,akakudhuru ili usitoe taarifa!

  Kutoa taarifa ni mantiki zaidi!!
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  U got it!!
   
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Kwani nikimripoti Polisi familia yake itajua kuwa ni mimi?
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sijali pesa wala zawadi, nitamripoti kwa watu wa usalama hata akiwa ni ndugu yangu wa kuzaliwa kwa baba na mama.
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Let the nature take place. I am not going to be the source of his problem. I will just leave it, unless he has shared the problem with me and ask for my advice. Otherwise its wise to stay cool. You better be a good listener than a good speaker.
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Jiulize yafuatayo;

  1. Wewe unaweza kuathirika kwa uhalifu huo kwa namna yoyote?

  2. Je, zawadi nono hiyo kweli ipo? Na kama ipo, inatosha kuwa suluhisho la kufulia kwako?

  3. Urafiki wenu utaathiri vipi maisha, jamii na nchi yako?

  Lakini utambue yafuatayo pia;

  1. Ni mtu anayekufahamu pengine hadi nyumbani...!

  2. Anao mtandao mkubwa sana polisi, ukimripoti huenda umejipeleka kwake...!

  3. Pia ni mtu ambaye tayari hana amani nawe, hivyo amekwisha tambua utofauti kati yenu...!

  Cha kufanya;

  1. Kaa kimya, na kamwe usizungumze naye kuhusu tuhuma hizo.

  2. Kaa mbali naye na umkwepe kuongozana naye kabisa.

  3. Kama utaripoti polisi, angalia usipelekwe na tamaa za zawadi nono, tembelea vituo mbalimbali na utumbukize maandishi yako kwenye masanduku ya maoni, then ishia zako kimyakimya. Wasipolifanyia kazi basi wewe umetimiza wajibu wako. Vinginevyo, kaa kimya na umuombe mungu akulinda na akuweke mbali naye...!
   
Loading...