Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,857
Hii inaendelea kunitokea. Mfano, wakati wa uchaguzi kuna jamaa nilikuwa ninakunywa nao mbege sehemu fulani, wakijadili siasa za vyama wanajishtukia wanaangalia na kusema oya mwanausalama yupo hapa. Wanapiga kimya.
Ishu ni kwamba Sina muda Sana kutulia mtaani, hawajui kazi yangu, halafu sikai mahala muda mrefu.
Na hata nikiwepo nyumbani hawajui, nikitoka hawajui.
Inakuwa kazi kunielewa.
Ila kisheria kumuhisi mtu ni usalama ni kosa, na hata Kama ni kweli Ni kosa pia kusema fulani ni TISS officer.