Utafanya nini endapo kazini wanakuhisi wewe ni TISS?

Hii inaendelea kunitokea. Mfano, wakati wa uchaguzi kuna jamaa nilikuwa ninakunywa nao mbege sehemu fulani, wakijadili siasa za vyama wanajishtukia wanaangalia na kusema oya mwanausalama yupo hapa. Wanapiga kimya.

Ishu ni kwamba Sina muda Sana kutulia mtaani, hawajui kazi yangu, halafu sikai mahala muda mrefu.

Na hata nikiwepo nyumbani hawajui, nikitoka hawajui.

Inakuwa kazi kunielewa.

Ila kisheria kumuhisi mtu ni usalama ni kosa, na hata Kama ni kweli Ni kosa pia kusema fulani ni TISS officer.
Umbeke
 
ma-TISS ni mojawapo ya the most stupid people I have ever seen

Majitu ya hovyo mno

Yanashiriki kuonea wanadamu wenzao kuridhisha stupid government and politicians..

Such an evil group of motherfvckers!

Halafu hayanaga akili,shule yalifeligi,majinga jinga matupu..hayajui lolote..halafu yanvyojidai sasa!

Always private sector gets the best people,pay the best money and always ahead of you stupid government slaves!
Du kama

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mnaangalia sana movie za hollwood.

Magonjwa ya akili Tz ni mengi sana

Anyway hizi lawama zote kwa John.
 
Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
Kwani huko mitaani mnafahamu nini kuhusu tisi mbona sie wakawaida tu.
 
Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
Endelea na shughuli zako tu. Nilisoma chuo (17 years ago) nikahisiwa kuwa ni TISS, binafsi sikuwa najua kuwa watu wananiwazia hivo, siku ya graduation rafiki yangu tulikuwa campany moja akanigusia hilo jambo. Ila maisha yangu chuoni yalikuwa ni ya shida kidogo, sikuwa napata ushirikiano kwa watu wengi, ila wanawake ndio kidogo nilikuwa na o karibu. Ila yule rafiki yangu alie niambia hilo kumbe ndio alikuwa TISS halisi na saivi ni hakimu ila ni TISS.
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom