Utafanya nini endapo kazini wanakuhisi wewe ni TISS?

Hii inaendelea kunitokea. Mfano, wakati wa uchaguzi kuna jamaa nilikuwa ninakunywa nao mbege sehemu fulani, wakijadili siasa za vyama wanajishtukia wanaangalia na kusema oya mwanausalama yupo hapa. Wanapiga kimya.

Ishu ni kwamba Sina muda Sana kutulia mtaani, hawajui kazi yangu, halafu sikai mahala muda mrefu.

Na hata nikiwepo nyumbani hawajui, nikitoka hawajui.

Inakuwa kazi kunielewa.

Ila kisheria kumuhisi mtu ni usalama ni kosa, na hata Kama ni kweli Ni kosa pia kusema fulani ni TISS officer.
 
Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
Kwani TISS ndo nini? Alafu kitendo cha kutojurikana hii idara ina majukumu gani jamii inajivuruga sana.Hadi vichaa walichanganyikiwa na madawa ya kulevya wanasadikiwa wote ni TISS at the same time wengine ni rafiki zetu
 
Hii inaendelea kunitokea. Mfano, wakati wa uchaguzi kuna jamaa nilikuwa ninakunywa nao mbege sehemu fulani, wakijadili siasa za vyama wanajishtukia wanaangalia na kusema oya mwanausalama yupo hapa. Wanapiga kimya.

Ishu ni kwamba Sina muda Sana kutulia mtaani, hawajui kazi yangu, halafu sikai mahala muda mrefu.

Na hata nikiwepo nyumbani hawajui, nikitoka hawajui.

Inakuwa kazi kunielewa.

Ila kisheria kumuhisi mtu ni usalama ni kosa, na hata Kama ni kweli Ni kosa pia kusema fulani ni TISS officer.
Hivi bado kuna huu ushamba? ....sijui ni kwa sababu naishi nao na kunywa nao kila siku..nawaona wakawaida sana....ni kazi kama nyingine zinazohitaji disciplines za juu
 
Hivi bado kuna huu ushamba? ....sijui ni kwa sababu naishi nao na kunywa nao kila siku..nawaona wakawaida sana....ni kazi kama nyingine zinazohitaji disciplines za juu

Ni katika harakati za watu kutaka kujua undani wa mwingine. Wakipata tabu kukujua wanaanza kuzusha
 
Ukiwa mshamba mshamba tu jua unalo ukijiect kama akina john kisomo unalo kazi kweli kweli [vijana wa zamani wanalifahamu jina la john kisomo] ni wanafunzi ambao walikuwa darasani mda wote ni kusolve to ma equations na wanafunzi wengi tukikwama tulikuwa tunaenda kwao infact ni watu waliokuwa hawashindwi na aina yoyote ya swali it was funny at that blue days lakini kwa maajabu ya mungu wengi hawakunyookewa sana kimaisha japo walikua na akili nyingi mno
 
Achana na washamba hao wasioijua TISS wewe chapa kazi.

Anyway labda tujue...kuna aliyewahi kukuuliza au na wewe unajishtukia tu?
 
ma-TISS ni mojawapo ya the most stupid people I have ever seen

Majitu ya hovyo mno

Yanashiriki kuonea wanadamu wenzao kuridhisha stupid government and politicians..

Such an evil group of motherfvckers!

Halafu hayanaga akili,shule yalifeligi,majinga jinga matupu..hayajui lolote..halafu yanvyojidai sasa!

Always private sector gets the best people,pay the best money and always ahead of you stupid government slaves!
hawa ni watch dog kila pahala tunao wanatusaidia sana hawana ubaya wowote [if you are a clean person]
 
Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
Mkuu wengi watakushukia hapa kwa sababu wanachukulia mambo juu juu,ila nahisi kuna baadhi ya mionekano ya watu kwenye jamii huwa wanahisiwa hivyo....

Niliwahi kuleta bandiko langu hapa linalofanana na la kwako,lakini asilimia kubwa humu wanahisi haya mambo ni maigizo.
 
Ukiona kila mahali watu wanasema Fulani ni mwanausalama hiyo siyo nzuri kabisa,kushuku kumekuwa kwingi siku hizi cjui shida iko wapi?
 
ma-TISS ni mojawapo ya the most stupid people I have ever seen

Majitu ya hovyo mno

Yanashiriki kuonea wanadamu wenzao kuridhisha stupid government and politicians..

Such an evil group of motherfvckers!

Halafu hayanaga akili,shule yalifeligi,majinga jinga matupu..hayajui lolote..halafu yanvyojidai sasa!

Always private sector gets the best people,pay the best money and always ahead of you stupid government slaves!
Bila shaka wewe ni muhalifu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom