HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,373
- 94,566
Mara kadhaa nimeandika kuilalamikia hii Taasisi. Hii Taasisi kwa sehemu kubwa imeonesha kutoweza fanya kazi yake ya msingi ambayo kulinda maslahi ya Tanzania.
Muundo wa TISS hauna malengo mapana kwa Tanzania ya miaka 100 ijayo, na hii inasababishwa na Siasa na Wanasiasa kupenyeza watu wasio na uwezo.
Tuliomba Uajiri uwe wa wazi kama Mashirika mengine ya kijasusi duniani ie CIA, DIA, MI6, hizo taasisi huweka wazi kabisa watu wanaowataka etc.
TISS imekuwa ya kamlete, UVCCM, kamwe hakuna anayeweza linda maslahi ya Tanzania maana hana uchungu na hiyo kazi, maana aliwekwa tu.
TISS ilitakiwa ipitie hayo maducoment na kushauri au kulazimisha yabadilishwe ili maslahi ya nchi yalindwe.
TISS kwa kuona hivyo wakaandaa Muswada utaowalinda wao, na kutaka upitishwe bungeni bila wabunge kujua kilicho ndani yake.
Kwenye mabehewa ya treni TISS alitakiwa ajue mapema kabla ya sasa kila siku twaambiwa SGR inaanza afu baadae visingizio vinakuwa Vita na Corona.
Watanzania tusitegemee maajabu. Kama Wizara inakopa pesa na inatenga bilioni 47 za posho wategemea hapo TISS wana msaada?