Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,660
- 46,349
Sijwahi kuona taifa lingine ambalo wizi/ufisadi wa mali za umma unatokea halafu Idara za ujasusi ndizo zinalaumiwa.
Ukosoma sheria ya kuundwa kwa TISS kazi ya inahusu usalama wa taifa "security". Kufuatilia rushwa, ufisadi katika ofisi za umma, kuendesha uchumi, kupambana na madawa ya kulevya sio kazi yao. Hayo ni majukumu ya vitengo vingine vingi vilivyoundwa mahususi kwa shughuli hizo.
Wao wanapaswa kuingia tu kwenye uchunguzi wa mambo hayo endapo yanahusisha usalama wa taifa, mfano mtu anauza dawa za kulevya kufadhili ugaidi au mtumishi amepewa rushwa kutoa classified information za nchi. Sio kila ufisadi, au biashara haramu ni jukumu la TISS.
Act yao inasema to obtain, correlate, and evaluate intelligence "relevant" to security.
Tuache kwapa TISS majukumu yasiyowahusu, hii ni slippery slope mbaya sana inatengenezwa kwa kufanya hivi. TISS wanapaswa kufanya kazi zao kulingana na Act yao iliyounda hiyo idara.