Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Kwa wale watakao oota mabaya siku nyingine mkiota amkeni usiku uleule keemeen tusimlaumu sana mtoa mada akuujuua pengine cha kufanya
ndoto nyingi mbaya hutimia ukiwahi kuzikemea usiku uleule huwa hazitokei...
rIp marehemu
 
Kiufupi ajali niliyotabiri ndio hii na rangi ya ndege kwenye Logo sio shida coz kuna wakati za kijani na njano nilianza kuziona lakini baadae sijui kwani nikaona rangi nyekudu.Baada ya kumaliza form 6 Benjamini Mkapa HGL nilikuwa nawaza sana Majibu ya Language 1 na 2.iLA NILIJIONA noma sana kuna siku nikaletewa mitihani yangu ya Language 1 na 2 imesahihishwa nikaonyeshwa na maksi nilizopata na baada ya matokeo kutoka nilipata D ambayo ukijumlisha zile maksi nilizoonyeshwa kwenye ndoto ukagawanya kwa 2 lazima GRADE iwe D
Sema ajali ulioota ndotoni,na siyo utabiri! Ndoto na utabiri ni vitu viwili tofauti kabisa!!
 

Mleta uzi, hapa maono yake yalitimia na mengine yanaendelea kutimia.

JF kuna member wanne sasa wa kua nao makini kila wanachokipost.

1. Tumia Akili (mtu wa system)
2. Tumain El (mtu wa dini dini - sina uhakika na user name yake)
3. Maharage ya ukweni (maono)
4. Yoga (mtu wa system)
Hiyo 1 na 2..., Ni mtu mmoja..
 
Back
Top Bottom