Ustadh: Makaburini maiti wanatembeleana

Ustadh: Makaburini maiti wanatembeleana

View attachment 3538370
Ni rahisi sana kucheza na akili ya mwafrika.
Kulingana na imani mbalimbali za kidini na kiroho, roho za marehemu—badala ya miili ya kimwili—zinafikiriwa kuingiliana, kutambuana, na kutembeleana katika maisha ya baada ya kifo au “Barzakh” (muda kati ya kifo na ufufuo). Ingawa miili ya kimwili inasalia katika makaburi yao, mapokeo ya kiroho mara nyingi hushikilia kwamba nafsi zilizoachwa ziko katika ulimwengu mwingine na zinaweza kukutana, wakati baadhi zinaweza kubaki karibu na mahali pa kupumzika.
 
Uongo
 
Hao ndiyo mashekh WAPUMBAVU kina adriz the mbususu na Al-mukheef Jagina Covax FaizaFoxy
Sheikh hajui hata maana ya maiti 😁😁😁 kuna tofauti baina ya maiti na Marehemu bora angesema marehemu huwa wanatembeleana ..kuna watu wamekufa (yaani wamekuwa marehemu) bila ya kuwa na maiti.
Kwa nini Magalatia mnahangaika kujua mambo yasio wahusu ?

Kama kweli au sio kweli itakusaidia nini wakati ushaukubali ukafiri ?

Sioni haja ya kujadiliana na ignorant Scumbabag Galatians wakati wao hawaoni kheri katika Uislamu na hawataki ukweli bali mabishano na kutaka kukejeli dini , Mimi nishavuka huko kusanya Dujeumsaeng wenzako na mleta mada mjadili na kucheka mkalale.
 
Mwaga nondo mkuu, hutaki wengine tuslim, au unataka ukapige zile 72 peke yako?
 
Kulingana na imani mbalimbali za kidini na kiroho, roho za marehemu—badala ya miili ya kimwili—zinafikiriwa kuingiliana, kutambuana, na kutembeleana katika maisha ya baada ya kifo au “Barzakh” (muda kati ya kifo na ufufuo). Ingawa miili ya kimwili inasalia katika makaburi yao, mapokeo ya kiroho mara nyingi hushikilia kwamba nafsi zilizoachwa ziko katika ulimwengu mwingine na zinaweza kukutana, wakati baadhi zinaweza kubaki karibu na mahali pa kupumzika.
TUMIA AKILI ...SHEIKH KASEMA MAITI SIYO MAREHEMU
 
Back
Top Bottom