makaburini

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Kaka yake shetani

  Kwanini gari za tesla ukifika makaburini zinaona kuna watu wakati hakuna watu?

  Ili jambo linazidi kufichwa sana ila litakuja kujitokeza kwenye magari ambayo kwa sasa ndio teknolojia inataka.mfano gari za tesla zimelalamikiwa sana kuwa zinaona watu ambao hawa onekani wakiwa wanapita,tambua mfumo wa gari za tesla una sensa kali. Mfumo wa tesla unaweza kuona magari na...
 2. Pascal Mayalla

  Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

  Wana JF Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe. https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2 Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni. Kwa jinsi makaburi ya...
 3. 6 Pack

  Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

  Niaje waungwana, Hiki kisa, au tukio lilintokea miaka mingi kidogo. Enzi zile za kwenda kuangalia movie katika vibanda vya video. Sasa siku hiyo nilienda kuangalia video katika banda moja nililokuwa napenda kwenda kuangalia. Banda hilo lilikuwa maeneo ya Manzese Midizini kwa mama fulan jina...
 4. GENTAMYCINE

  Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

  Jina la Marehemu nalihifadhi... Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023 Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023 Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi. Kadhia hii hii (ambayo ipo sana...
 5. nzalendo

  Kwa nini makaburini wamejenga uzio

  Kwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai...
 6. JanguKamaJangu

  Makusanyo Soko la Sinza Makaburini yanaenda wapi? Hakuna vyoo wala sehemu za kutupa taka

  Nimeona taarifa hii kuhusu Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini Jijini Dar es Salaam kulalamika kuwa juu ya ubovu wa miundombinu ya soko hilo, ikiwemo uchakavu wa vyoo pamoja na kukosekana kwa sehemu maalum ya kutupa taka. Kuna Mfanyabiashara Robert Swai ambaye amehojiwa na kusema soko...
 7. M

  Coco Beach pajengwe Shopping Mall

  Ukipita pale Coco Beach utagundua like eneo halitumiki ipasavyo. Kwanini pasijengwe Shopping Mall kubwa ili watalii wapate nahitaji yote hapo huku waki-enjoy upepo wa bahari? Pichani ni Water Front Shopping Mall, Cape Town, SA
 8. Etugrul Bey

  Tunaingia Makaburini hatujatanguliza kheri yoyote

  Hakika binadamu ameshughulishwa Sana na wingi WA kutafuta Mali mpaka amesahau kesho itakuwaje,amesahau hakika hapa duniani yeye ni Msafiri na Mda wowote ataondoka. Mwenyezi Mungu anatutaka tutafute dunia yetu na Akhera yetu pia,Kwa maana tupambane tupate ridhiki ya halali tupate Kula vya halali...
 9. Poker

  Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

  Mimi naitwa Telo nilizaliwa huko Kigoma, Kasulu maeneo ya kumsenga miaka 60 iliopita. Elimu yangu ni ya darasa la nne, ijapokuwa kiuhalisia elimu ilinipiga sandakalawe. Maisha huko Kasulu yalikuwa magumu mno yaani mnoo! Mlo ulikuwa wa shida, nyumbani tupo nyomi yakutosha na magonjwa yakawa...
 10. Masokotz

  SoC01 Matembezi Makaburini

  Nilifiliwa na tukaenda kuzika Makaburini. Baada ya Maziko nilijikuta nikipata hamu na kiu ya ajabu sana ya kutaka kutalii Makaburini.Basi nilianza mzunguko wangu taratibu huku nikisoma mawe ya makaburi yaliyoandikwa JINA,mwaka wa kuzaliwa na mwaka wa kufa.Makaburi mengine yalitiwa nakshi sana...
 11. Bujibuji Simba Nyamaume

  INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

  Makaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena. Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
 12. YEHODAYA

  Fursa za ajira na biashara makaburini

  Kuna fursa nyingi makaburini nawapa wale wavivu wa kufikiri ziko za kuanzia kuchimba na kujenga makaburini, kuuza Sanda na majeneza, kukodisha mahema na viti na kuviweka makaburini, kukodisha spika na microphone, kuuza maji ya kunywa kwa waombolezaji, mashada ya maua, chakula, usafiri nk...
Back
Top Bottom