USSD PROBLEM, kwenye sumsung Z ford 2

Wakuu msaada tutani ,nina changamoto ya kuingia menu kwa simu ya Samsung Galaxy Z ford 2 nimanisha mfano kuingia kwenye tigo pesa au mpesa kwa menu yake , kuunga vifurushi n.k tatizo limeanza ghafla ...View attachment 2024092
Hizi Simu za Fold ungefanya kwanza research kabla ya kununua, review nyimgimza wataalamu na user experience inaonesha sio simu durable zina matatizo ya ajabu ajabu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hizi Simu za Fold ungefanya kwanza research kabla ya kununua, review nyimgimza wataalamu na user experience inaonesha sio simu durable zina matatizo ya ajabu ajabu
Yes , nakubaliana na ww
 
Wakuu msaada tutani ,nina changamoto ya kuingia menu kwa simu ya Samsung Galaxy Z ford 2 nimanisha mfano kuingia kwenye tigo pesa au mpesa kwa menu yake , kuunga vifurushi n.k tatizo limeanza ghafla ...View attachment 2024092
Nenda Settings > location & privacy > mobile tracker (halafu disable/switch-off hiyo mobile tracker) then run USSD code tena kama imekaa sawa.
 
" Simu yako ya mkononi haitumiki
Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja "
nmejarbu simu ingine ina work lakn samsung s6 app haifunguki
Hao huduma kw watja hawajanipa msaada wowote
Cheki na mpesa nayo inafanya, jaribu na app ya Amana bank
 
jaribu kutafuta conveter file ambalo linaloweza kufix hilo tatizo ila ni tatizo la kawada ktk samsung ambazo mnazoagiza bila kufanya uchunguzi
 
Back
Top Bottom