Usiyoyajua kuhusu Tundu Antipas Mughwai Lissu

S

SAFMARINE

Member
Joined
Apr 13, 2019
Messages
85
Points
150
S

SAFMARINE

Member
Joined Apr 13, 2019
85 150
pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
 
IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Messages
333
Points
1,000
IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2013
333 1,000
pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Bhasi ukagombee wewe unaefaa sasa
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
18,326
Points
2,000
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
18,326 2,000
Tundu Lissu ni MTU wa watu. Magufuli hafanyi mambo kwa ajili ya watu, ila anawatumia watu kujijengea umaarufu
amenyalua hekta zaidi ya 5000 Karagwe na kuifanya ranch ya ngombe wake! akija kumaliza 50% ya ardhi ya tanzania itakuwa mali yake!
 
IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Messages
333
Points
1,000
IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2013
333 1,000
amenyalua hekta zaidi ya 5000 Karagwe na kuifanya ranch ya ngombe wake! akija kumaliza 50% ya ardhi ya tanzania itakuwa mali yake!
Mhhhh! Haya ndo nayasikia leo
 
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Messages
1,217
Points
2,000
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2018
1,217 2,000
Je wajua tundu lissu kavuliwa ubunge akiwa nje ya nchi?
Huku akiendelea kujiuguza baada Ya kupigwa risasi nyingi
Ndungai kaleta aibu kubwa katika taifa letu.
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
18,219
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
18,219 2,000
pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Anayeteka,kutesa na kuua wapinzani ndiye anaichafua nchi.
 
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Messages
1,217
Points
2,000
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2018
1,217 2,000
pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Bwege wewe lini Lisu kaikashifu nchi? Hivi nyie Inzi wa kijani uelewa wenu mbona upo chini Kiasi hicho
 
IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Messages
333
Points
1,000
IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2013
333 1,000
Ikweta , you are less informed, juzi si alikuwa Kragwe akionekana kumpa hela mtoto barabarani. Alikuwa anatoka kwenye ranchi yake!
Definetly I am missing some information
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,573
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,573 2,000
MAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU TUNDU LISSU

1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyange Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?

3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?

4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?

5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?

6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?

7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?

8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?

9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?

10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?

11. Je wajua Tundu Lisu alipigwa risasi 16 hakufa?

C&P
Namba 8,9,10, na 11, zinamfanya Lissu Kuwa Rais wa Watanxmzania 100%
 

Forum statistics

Threads 1,316,113
Members 505,494
Posts 31,879,461
Top