Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 735
- 1,464
- Thread starter
- #21
Jifunze kubalance/control emotions. Hapa hukulazimishwa kucoment.Nenda ukaolewe na huyu Lisu wako mzee wa MIGA
Think Big
Jifunze kubalance/control emotions. Hapa hukulazimishwa kucoment.Nenda ukaolewe na huyu Lisu wako mzee wa MIGA
Mungu amfanyie wepesi, aponeKwa CV hii tu lissu yuko juu na atabaki kua juu mawinguni, Mungu ambariki lissu
Mungu ibariki Tanzania, AmenMungu mbariki Tundu Lissu
Bhasi ukagombee wewe unaefaa sasapamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
amenyalua hekta zaidi ya 5000 Karagwe na kuifanya ranch ya ngombe wake! akija kumaliza 50% ya ardhi ya tanzania itakuwa mali yake!Tundu Lissu ni MTU wa watu. Magufuli hafanyi mambo kwa ajili ya watu, ila anawatumia watu kujijengea umaarufu
Tupatie ubuyu huo mkuu nipo gizani.BASHITE kapora Mercedes Benz ya Ndama kampa mkewe zawadi ya birthday
Vipi mumeo kakupumulia kichogoni mara ngapi leo,Nenda ukaolewe na huyu Lisu wako mzee wa MIGA
Mhhhh! Haya ndo nayasikia leoamenyalua hekta zaidi ya 5000 Karagwe na kuifanya ranch ya ngombe wake! akija kumaliza 50% ya ardhi ya tanzania itakuwa mali yake!
Ndungai kaleta aibu kubwa katika taifa letu.Je wajua tundu lissu kavuliwa ubunge akiwa nje ya nchi?
Huku akiendelea kujiuguza baada Ya kupigwa risasi nyingi
Achana na hili pungaSio wanaume wote wako ndembe ndembe kama wewe
Tena giza neneTupatie ubuyu huo mkuu nipo gizani.
SureAchana na hili punga
Anayeteka,kutesa na kuua wapinzani ndiye anaichafua nchi.pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Bwege wewe lini Lisu kaikashifu nchi? Hivi nyie Inzi wa kijani uelewa wenu mbona upo chini Kiasi hichopamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Ikweta , you are less informed, juzi si alikuwa Kragwe akionekana kumpa hela mtoto barabarani. Alikuwa anatoka kwenye ranchi yake!Mhhhh! Haya ndo nayasikia leo
Mkuu jenga hoja usitukane, tumia hekima katika kuwasilisha hoja zako.Bwege wewe lini Lisu kaikashifu nchi? Hivi nyie Inzi wa kijani uelewa wenu mbona upo chini Kiasi hicho
Definetly I am missing some informationIkweta , you are less informed, juzi si alikuwa Kragwe akionekana kumpa hela mtoto barabarani. Alikuwa anatoka kwenye ranchi yake!
Namba 8,9,10, na 11, zinamfanya Lissu Kuwa Rais wa Watanxmzania 100%MAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU TUNDU LISSU
1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?
2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyange Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?
3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?
4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?
5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?
6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?
7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?
8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?
9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?
10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?
11. Je wajua Tundu Lisu alipigwa risasi 16 hakufa?
C&P