Usiyoyajua kuhusu Tundu Antipas Mughwai Lissu

S

SAFMARINE

Member
Joined
Apr 13, 2019
Messages
86
Points
150
S

SAFMARINE

Member
Joined Apr 13, 2019
86 150
Anayeteka,kutesa na kuua wapinzani ndiye anaichafua nchi.
sawa ndiyo anaichafua nchi je ni nani/ niwatuwasiojulikana kama unawajuwa hebu wataje maana polisi au mtu yeyote hajawahi kuwaona au kuthibitisha kuwa ni fulani huo ni uhayawani wa lissu tu kuongea asicho kijua hawezi kuongoza nchi
 
S

SAFMARINE

Member
Joined
Apr 13, 2019
Messages
86
Points
150
S

SAFMARINE

Member
Joined Apr 13, 2019
86 150
Bwege wewe lini Lisu kaikashifu nchi? Hivi nyie Inzi wa kijani uelewa wenu mbona upo chini Kiasi hicho
utakuwa na matatizo ya akili kama hujui kama lissu alichafua nchi huko ughaibuni huku akijifanya mgonjwa huku akizurura bila sababu huyo ni mhuni kama walivyo wahuni wengine tu
 
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,330
Points
2,000
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,330 2,000
Kwa sababu ya udhaifu wetu watz wa kutotafuta maarifa wengi hatujui kuwa huyu mtu ni lulu ya taifa mpaka wasiojulikana wanaona akafilie mbele lakini Mungu akasema "bado unahitajika"!
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
18,349
Points
2,000
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
18,349 2,000
pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Kwa vipi ameichafua nchi? Una mapungufu ya kufikiri kidogo. Siyo kosa lako
 
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Messages
1,220
Points
2,000
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2018
1,220 2,000
Ikweta , you are less informed, juzi si alikuwa Kragwe akionekana kumpa hela mtoto barabarani. Alikuwa anatoka kwenye ranchi yake!
Aisee! Kipindi cha kampeni atapata tabu sana, ndio maana yupo bize kutaka kufuta upinzani ili yasizungumuzwe kumbe ndo ameongeza petrol kwenye moto
 
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
5,013
Points
2,000
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
5,013 2,000
MAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU TUNDU LISSU

1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyange Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?

3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?

4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?

5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?

6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?

7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?

8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?

9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?

10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?

11. Je wajua Tundu Lisu alipigwa risasi 16 hakufa?

C&P
lete na ya NDUGAI

1. alimpiga bakora mpinzani wake kwenye kura za maoni kugombea ubunge
 
S

SAFMARINE

Member
Joined
Apr 13, 2019
Messages
86
Points
150
S

SAFMARINE

Member
Joined Apr 13, 2019
86 150
Ndungai kaleta aibu kubwa katika taifa letu.
ndugai hajatia aibu nchi anatekeleza matawa ya sheria ambayo hata lissu anaijua ila anataka huruma tu eti kwa sababui alipigwa risasi kwani hana chama cha kumuombea ruhusa au hakuweza kuandika barua ya ruhusa mbona kuzurura anaweza na kwenda kutukana hovyo huko ulaya anakula jeuri yake
 
W

Wamkopeka

Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
8
Points
45
W

Wamkopeka

Member
Joined Apr 2, 2012
8 45
pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Tatizo tafasiri na uelewa
 
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Messages
1,220
Points
2,000
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2018
1,220 2,000
Mkuu jenga hoja usitukane, tumia hekima katika kuwasilisha hoja zako.
Tatizo mnajifanya hamuelewi wakati ukweli mnaujua, haya hebu orodhesha kashfa unazosema hapa ili tuzijadiri tujiridhishe kama ni kweli.
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
18,349
Points
2,000
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
18,349 2,000
ndugai hajatia aibu nchi anatekeleza matawa ya sheria ambayo hata lissu anaijua ila anataka huruma tu eti kwa sababui alipigwa risasi kwani hana chama cha kumuombea ruhusa au hakuweza kuandika barua ya ruhusa mbona kuzurura anaweza na kwenda kutukana hovyo huko ulaya anakula jeuri yake
Wewe ni fool: DO NOT ARGUE WITH A FOOL, PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCE
 
S

SAFMARINE

Member
Joined
Apr 13, 2019
Messages
86
Points
150
S

SAFMARINE

Member
Joined Apr 13, 2019
86 150
Wewe ni fool: DO NOT ARGUE WITH A FOOL, PEOPLE MIGHT NOT NOTICE THE DIFFERENCE
huu mchezo hautaki hasira yeye alijifanya mjanja sana eti anajuwa sheria aende mahakamani aone watu wanavyojuwa sheria na katiba huyo mhuni tu
 
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Messages
1,220
Points
2,000
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2018
1,220 2,000
sawa ndiyo anaichafua nchi je ni nani/ niwatuwasiojulikana kama unawajuwa hebu wataje maana polisi au mtu yeyote hajawahi kuwaona au kuthibitisha kuwa ni fulani huo ni uhayawani wa lissu tu kuongea asicho kijua hawezi kuongoza nchi
unataka kuziba jua kwa kiganja cha mkono?
 
Rungutira

Rungutira

Member
Joined
Dec 11, 2018
Messages
25
Points
45
Rungutira

Rungutira

Member
Joined Dec 11, 2018
25 45
MAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU TUNDU LISSU

1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyange Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?

3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?

4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?

5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?

6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?

7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?

8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?

9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?

10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?

11. Je wajua Tundu Lisu alipigwa risasi 16 hakufa?

C&P
Jamani ukisikia kuna wajukuu wa Mitume ndiye huyu Jamaa.. daaah, Watapambana nae Watashindwa mwisho wa Siku....
 
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Messages
1,220
Points
2,000
warthog gun

warthog gun

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2018
1,220 2,000
utakuwa na matatizo ya akili kama hujui kama lissu alichafua nchi huko ughaibuni huku akijifanya mgonjwa huku akizurura bila sababu huyo ni mhuni kama walivyo wahuni wengine tu
Hotuba zake zote niliziona sasa wewe andika/orodhesha hapa hizo kashfa ili tuzijadiri tujiridhishe kama ni kweli alikashfu nchi, msifikiri na sisi ni misukule kama ya lumumba
 
S

SAFMARINE

Member
Joined
Apr 13, 2019
Messages
86
Points
150
S

SAFMARINE

Member
Joined Apr 13, 2019
86 150
Jamani ukisikia kuna wajukuu wa Mitume ndiye huyu Jamaa.. daaah, Watapambana nae Watashindwa mwisho wa Siku....
hakuna mtu anayepambana na mhuni kama lissu atapayuka mwisho atatulia siasa haitaki mamruki kama lissu
 
S

SAFMARINE

Member
Joined
Apr 13, 2019
Messages
86
Points
150
S

SAFMARINE

Member
Joined Apr 13, 2019
86 150
Hotuba zake zote niliziona sasa wewe andika/orodhesha hapa hizo kashfa ili tuzijadiri tujiridhishe kama ni kweli alikashfu nchi, msifikiri na sisi ni misukule kama ya lumumba
lumumba hakuna misukule pale kuna watu na akili zao ufipa ndiyo yamejaa mashoga matupu hayana kazi ya kufanya
 
Forum statistics

Threads 1,316,455
Members 505,652
Posts 31,890,972
Top