Usiyoyajua kuhusu Tundu Antipas Mughwai Lissu

pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Bhasi ukagombee wewe unaefaa sasa
 
Nenda ukaolewe na huyu Lisu wako mzee wa MIGA
Vipi mumeo kakupumulia kichogoni mara ngapi leo,
tapatalk_1558852214951.jpeg
 
pamoja na hayo yote lakini hafai kuwa rais wa nchi ambayo haipendi kama tz maana huwezi kuikashfu nchi yako mwenyewe halafu uje uombe ridhaa ya kuiongoza hana sifa ya kuwa rais hata kidogo
Bwege wewe lini Lisu kaikashifu nchi? Hivi nyie Inzi wa kijani uelewa wenu mbona upo chini Kiasi hicho
 
MAMBO 11 USIYOYAJUA KUHUSU TUNDU LISSU

1. Je Wajua Tundu Lissu Aliwatoa Gerezani BURE Wananchi 466 Wa Tarime Waliofungwa Kwa Kupinga Mwekezaji Asiwanyanganye Ardhi Yao?

2. Je Wajua Tundu Lissu Alishawai Kupigwa Marufuku Asikanyange Nyamongo Kwasababu Ya Harakati Zake Za Kuwatetea Wananchi Dhidi Ya Wawekezaji?

3. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Kaka Yake Alute Lissu Mahakamani Kwenye Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Lema, Alute Akiitetea CCM Na TL CHADEMA?

4. Je Wajua Tundu Lissu Akiwa JKT Itende Alidhaniwa Kuwa "Usalama Wa Taifa" Kutokana Na Tabia Yake Ya KUHOJI Bila Woga?

5. Je Wajua Tundu Lissu Alipambana Na Serikali Ya Mkapa ISIUZE Rufiji Delta Kwa Mwekezaji Nolan, Hadi Bank Ya EIB Ikagoma Kutoa Mkopo Kwa Nolan?

6. Je Wajua Mwaka 2004 Freeman Mbowe Alimuomba Tundu Lissu Ajiunge CHADEMA Baada Ya Kumtetea Chacha Wangwe Kwenye Kesi 10 Za Jinai?

7. Je Wajua Tundu Lissu Alianza Kushtakiwa Kwa "Uchochezi" Mwaka 2001 Na Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia?

8. Je Wajua Kwenye Kampeni 2010 Kikwete Aliwai Kusema Ni Heri Dr.Slaa Awe Rais Kuliko Tundu Lissu Awe Mbunge?

9. Je Wajua 70% Ya Kesi Anazozisimamia Tundu Lissu Halipwi Chochote Na Watu Anaowatetea, Yeye Hufurahi Akiona Mtu Haonewi Wala Kunyanyaswa?

10. Je Wajua Tundu Lissu Hutumia Mshahara Wake Wa Mbunge Kusafiri Maeneo Mbalimbali Nchini Kuwatetea Walalahoi BURE Mahakamani?

11. Je wajua Tundu Lisu alipigwa risasi 16 hakufa?

C&P
Namba 8,9,10, na 11, zinamfanya Lissu Kuwa Rais wa Watanxmzania 100%
 
Back
Top Bottom