Usiri ajira TISS

Ni kweli na wengi wamegeukia kutapeli watu
Zamani bwana, hii taasisi ilikuwa ya heshima na kujiheshimu, siasa ikaanza wakubwa wakaanza peleka watoto wao waliokataa shule, ilikuwa taasisi ya usiri mkubwa ikifanya kazi yake kwa uadilifu, leo kila mmoja anajitahidi umjue yeye ni usalama... yaani kimekuwa ka kigenge cha watafuna mirungi.
 
Nyerere aliwatafuta mpaka chooni, ukada ni sawa lakini cream bora ipo ndani ndani huko.Mfano januari ni tiss we unaona ni sawa.Mfano tu.
Unahisi kwanini mchonga aliwajaza wanyalu huko wakati wake

Ova
 
Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko. Hua nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe. Uchawa na Ccm ni janga la taifa.
We jamaa muongo sana,halafu unajifanya mjuaji.
 
Perfect said
 
"Hakuna hata mbongo anaejua hadhina za waingereza zilipo hata hao usalama wa Taifa." Wakati huohuo wewe ulishaambiwa, haya tueleze wewe ni raia wa wapi na aliyekupa siri hiyo ni raia wa wapi. Sometimes story za vijiweni zinahitajika kuchujwa kabla ya kuziweka kichwani mkuu.
 
Mi naona kuna watu mnachanganya ma informer na watu wa usalama wa taifa. Anyways mengine yanipite ila kwa kazi zinazofanyika hadi wewe unalala usingizi ndani kwako ungeshukuru tu. Acha nikatafute jukwaa la mfumuko wa bei za vyakula ndo linalonihusu.
Umeongea kitu kikubwa sana chief.
 
Usikate tamaa mkuu hiyo kitengo haina umri rasmi. Nawaza kwa sauti.
 
Sometimes story za vijiweni zinahitajika kuchujwa kabla ya kuziweka kichwani mkuu.
Soma history mkuu kuna vitu vingi utajifunza, angalia hata makala mbalimbali za history ya nchi yako zitakupa mwanga,
 
Mi naona kuna watu mnachanganya ma informer na watu wa usalama wa taifa. Anyways mengine yanipite ila kwa kazi zinazofanyika hadi wewe unalala usingizi ndani kwako ungeshukuru tu. Acha nikatafute jukwaa la mfumuko wa bei za vyakula ndo linalonihusu.

Kazi ya usalama ni kuiba uchaguzi Basi.
 
Soma history mkuu kuna vitu vingi utajifunza, angalia hata makala mbalimbali za history ya nchi yako zitakupa mwanga,
Unachokisoma kwenye vitabu kuna wenzio ndio mazingira yao ya kazi ya kila siku. Dunia ni kubwa peke yako huwezi kuijaza mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…