watu wa babati au?
Ukioa Mbungu, usimuudhi. Ukimuudhi atatoka nyumbani na kwenda kilimani akuporomoshee matusi.
Tusi lao kubwa lilikuwa kumpopotoa Kikwete na mawe baada ya kuahirisha ghafla kuwatembelea kwa sababu ya kukosa muda.
Wana dharau kama ya wahehe, hata kama ni maskini.
Jf Chit chat is becoming boring nowadays................
rafiki, you have to Do Something......Jf Chit chat is becoming boring nowadays................
ooh yeah...but me...miss you....
rafiki, you have to Do Something......
hofu kwako rafiki.....Mambo niaje "Rafiki"?
Habari za siku mbili tatu?
dada mkubwa unaitwa kule MMU na pacha wangu ametoa booonge la swali!hofu kwako rafiki.....
nimefurahi kukusikia tena
ngoja nikalichungulie my deardada mkubwa unaitwa kule MMU na pacha wangu ametoa booonge la swali!
nakuaminia ujue
ndio......