usiombe kudaiwa na benki!

usiombe kudaiwa na benki!

Pole Bishanga, Uliokula nao waambie wakusaidie kulipa.
 
Last edited by a moderator:
Pole Bishanga, Uliokula nao waambie wakusaidie kulipa.
 
kopa benki nyingine ulipe,huko nako wakikudai unakopa kwingine unalipa deni la zamani
 
kopa benki nyingine ulipe,huko nako wakikudai unakopa kwingine unalipa deni la zamani
siku hizi kuna kitu kinaitwa 'credit agency',kukopa juu ya mkopo ngumu wanataarifiana.
 
Pole sana bepari, kwahyo sahv hakuna kula bata mpaka madeni yaishe.? The secretary kimbia hii mtu ishafilisika.
 
Last edited by a moderator:
Wakiwape nyie pokeeni tu,
ya mbele watayajua wenyewe.

hela tulipeana in confidence-sasa unawaambia watu wengine?!unaniaibisha bwana!!halafu mi sikujua umekopa benki-tunge jaribu ku-invest sehemu sehemu...
 
Za Asubuhi Habib Choklet Wangu?
Nipe basi nipatie pesa nataka nikasuke kama hivi
Na we ndo nini kujishongondoa kwa maskini? Come zis way Madame B ujihesabie hela kwa wallet bana. Tabu ya nini na uchumi unao ila unaukalia tu?

attachment.php
 
Naogopa,
sio hela za 'moto'hzo?
Akhu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom