usiombe kudaiwa na benki!

Naogopa,
sio hela za 'moto'hzo?
Akhu.
Usiogope ukubwa wa samaki, ulizia bei.

ecclesDM2001_228x443.jpg

rich1.jpg
 
pole, kwa nini ulikopa pasipokuwa na malengo?

Malengo yalikuwepo lakini inflation imeleta balaa,siku unakopa mfuko wa simenti elfu kumi na tano by the time mradi uko halfway mfuko umefika elfu ishirini,exchange rate ya dola nayo balaa sasa deni unalipaje?
 
hela tulipeana in confidence-sasa unawaambia watu wengine?!unaniaibisha bwana!!halafu mi sikujua umekopa benki-tunge jaribu ku-invest sehemu sehemu...

Sasa mpenzi mbona unanigombeza hazalani?
 
Sasa mpenzi mbona unanigombeza hazalani?
basi unafkiri nimekugombeza??i wish kungekuwa na audio message..nimesema hayo kwa mapenzi yote na sauti ya mahaba kama nilivofundwa kwetu..me and you till the death of me!!
 
Bishanga nenda kwa yule mganga niliyekuelekeza yule mutu ya watu kutoka misitu ya kongo. Yule itamaliza mambo yako yote na makaratasi yote ya deni ya benki yatatoweka kimazingara.
 
Last edited by a moderator:
basi unafkiri nimekugombeza??i wish kungekuwa na audio message..nimesema hayo kwa mapenzi yote na sauti ya mahaba kama nilivofundwa kwetu..me and you till the death of me!!
ndo mana nakupendaga,nannhii ajinyonge tu....hahahahahaha
 
Bishanga nenda kwa yule mganga niliyekuelekeza yule mutu ya watu kutoka misitu ya kongo. Yule itamaliza mambo yako yote na makaratasi yote ya deni ya benki yatatoweka kimazingara.
dah! ngoja nimtafute Kongosho anisindikize maana kwa makulamanzila hashikiki,anazo mpaka za kumfanya mwanaume auze nyumba.
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya deni ni kulipa tu.usipolipa wewe kwa wakati wenzako watakopa nini?
 
Back
Top Bottom