usiombe kudaiwa na benki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

usiombe kudaiwa na benki!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bishanga, Aug 12, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Sijui shetani gani alinituma kukopa mabilioni benki,ntakoma mwaka huu,hayalipiki!
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ha,ha,ha,ha....uwiii.Njoo uzungumze uhamishie deni kwangu
   
 3. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  halafu ukute hamna uwekezaji wa maana uliofanya!utajuta mbona!
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  benk ni noma mzee'sitakaa nikope tena benk'siku unakopa wanaongea vizuri'ngoja matatizo yaanze wanakuruka utafikiri hawakujui'benk ni noma sishauri mtu yeyote kukopa benki'niliona daladala moja limeandikwa bora kuamka na njaa kuliko kuamka na madeni
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hivi mabilioni ya kikwete yaliishiaga wapi kuna mwana jf anaweza kunieleza namna ya kuyapata au ili kuwa mtaji wa mwanae riz1 na manji..
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  mpola muno!
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Za Asubuhi Habib Choklet Wangu?
  Nipe basi nipatie pesa nataka nikasuke kama hivi
   

  Attached Files:

 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Asubuhi ni nzuri ma choklet.
  wow! Huu msuko nimeupenda sana yan utapendeza sana na uzuri ulio nao we acha tu! Ngoja nikutumie pesa sasa hiv usije uka chelewa!
   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Poa,nitumie ktk ile Tigo Pesa yangu.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaa jk ni kama ka fail kila kitu alichokianzisha..hahaaaaa
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  wahenga walisema 'banker ni mtu anayekuazima mwavuli kwenye jua kali mvua ikianza kunyesha anakunyang'anya'.
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  we na bwanako mnanichakachua eh?
   
 13. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Changanya akili mkuu, mkopo unakupa challenge ktk kuyakabil majukumu. So jipange ulipe deni( dawa ya deni......?)
   
 14. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  Badili jina na uchukue passport nyingine uje nikupe mpango mzima. Usijali nitakusaidia ingawa kwenye ile ishu yangu uliweka pamba masikioni. Nyumba na mali zote zisizohamishika badili umiliki. Then sepa uje.
   
 15. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Bishanga amka!!!!!
  Tunakuchakachua ki-TIGO au ki-Pesa!!!,
  Bwana wenyewe Sijui hata muda huu anafanya nini na yuko wapi.
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  ok bab
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  niko around bab, worry out
   
 18. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kutaka kujenga jina mjini ni balaa! Haya kazi kwenu, naishi niwezavyo, siishi mtakavyo! Maisha ya kubadilisha miji kila kukicha, hayo yako, lol! Pole mwaya bepari letu!
   
 19. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ongea na cacico atakupa ushauri jinsi ya kuwadhulumu yeye ndio mtaalamu ya hiyo mambo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280

  Ok Beib wangu Kabati likianguka ntakuita,endelea tu kupiga misele wangu.
   
Loading...