usiombe kudaiwa na benki!

usiombe kudaiwa na benki!

Hahahaaaaa....si uliwekeza kwa wanawake!
 
Si bora bank wanakukumbusha mwisho wa mwezi! Usiombe ukope ile mia mbili ya tigo! Yaani hata ukiichungulia simu yako tu wanatuma msg ya kukumbusha deni. Ukiangalia salio, ukipigiwa! Wanakuharrass hadi basi! Bora nitume tafadhali nipigie kuliko kukopa tigo, liwalo na liwe
 
kopa voda lol
 
Bishanga amka!!!!!
Tunakuchakachua ki-TIGO au ki-Pesa!!!,
Bwana wenyewe Sijui hata muda huu anafanya nini na yuko wapi.
kwani we na rutta hamkulala wote jana?
 
Badili jina na uchukue passport nyingine uje nikupe mpango mzima. Usijali nitakusaidia ingawa kwenye ile ishu yangu uliweka pamba masikioni. Nyumba na mali zote zisizohamishika badili umiliki. Then sepa uje.
hivi kweli we Mamndenyi ungemweza?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga bashaija, watu wanakopa wanawekeza mahali, we unakopa kwa ajili ya kwenda kula maraha visiwa vya Hawaiii na yule nanihii , ishakula kwako,

Angalia na lile hummer ulilomnunulia yule nanihii ameshalihonga!

hama inji :israel:
 
Last edited by a moderator:
kukopa kwa BUSARA, na kulipa kwa wakati ni msemo wetu watu wa SACCO's sijui bank wana kauli mbiu gani!!
 
Badili jina na uchukue passport nyingine uje nikupe mpango mzima. Usijali nitakusaidia ingawa kwenye ile ishu yangu uliweka pamba masikioni. Nyumba na mali zote zisizohamishika badili umiliki. Then sepa uje.

Tapeli lol.
 
Bishanga bashaija, watu wanakopa wanawekeza mahali, we unakopa kwa ajili ya kwenda kula maraha visiwa vya Hawaiii na yule nanihii , ishakula kwako,

Angalia na lile hummer ulilomnunulia yule nanihii ameshalihonga!

hama inji :israel:
mahesabu,uza nyumba utunze heshima bar!
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaaaaaaa, Bishanga...... waambie wale warembo ulioenda nao kujirusha na kuwafanyia yale mashopping wakusaidie kulipa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom