Sijui shetani gani alinituma kukopa mabilioni benki,ntakoma mwaka huu,hayalipiki!
Sijui shetani gani alinituma kukopa mabilioni benki,ntakoma mwaka huu,hayalipiki!
mpola muno!
Asubuhi ni nzuri ma choklet.Za Asubuhi Habib Choklet Wangu?
Nipe basi nipatie pesa nataka nikasuke kama hivi
Asubuhi ni nzuri ma choklet.
wow! Huu msuko nimeupenda sana yan utapendeza sana na uzuri ulio nao we acha tu! Ngoja nikutumie pesa sasa hiv usije uka chelewa!
wahenga walisema 'banker ni mtu anayekuazima mwavuli kwenye jua kali mvua ikianza kunyesha anakunyang'anya'.benk ni noma mzee'sitakaa nikope tena benk'siku unakopa wanaongea vizuri'ngoja matatizo yaanze wanakuruka utafikiri hawakujui'benk ni noma sishauri mtu yeyote kukopa benki'niliona daladala moja limeandikwa bora kuamka na njaa kuliko kuamka na madeni
we na bwanako mnanichakachua eh?
Poa,nitumie ktk ile Tigo Pesa yangu.
Bishanga amka!!!!!
Tunakuchakachua ki-TIGO au ki-Pesa!!!,
Bwana wenyewe Sijui hata muda huu anafanya nini na yuko wapi.
niko around bab, worry out