Unajua Vipande vya bomu ukikanyaga vibaya unaweza katwa au kuchomwa na kipande cha chuma, sasa kwenye mambo yako sijui mnatumia zaidi nini ambacho kitakuwa hakibakishi pieces
Kama kuna vitu vikali vitakuchoma kawaida lakini vitakuwa havina tena ile nguvu iliyotakiwaUnajua Vipande vya bomu ukikanyaga vibaya unaweza katwa au kuchomwa na kipande cha chuma, sasa kwenye mambo yako sijui mnatumia zaidi nini ambacho kitakuwa hakibakishi pieces
Mkuu je hiyo inamaanisha mtu aliye ndani ya gari au chombo cha usafiri hadhuriki endapo atakanyaga huo upupu wenyewe au hata mabaki baki ya upupu?Inaitwa kutega ama kutegewa lakini logik nyingine ni kwamba vinakuwa vimepeperushwa na upepo au magari
Hivi umezaliwa tu unajuaaa au umesoma au umerithishwaaa. Unajua nimedharau sana waganga wa jadi kisa wewe maana naina ww ndo mkuu wao, hata siogopi kurogeka tena maana najua waspowasiliana na ww dawa hazitafanya kaziKama kuna vitu vikali vitakuchoma kawaida lakini vitakuwa havina tena ile nguvu iliyotakiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vyote vitatuHivi umezaliwa tu unajuaaa au umesoma au umerithishwaaa. Unajua nimedharau sana waganga wa jadi kisa wewe maana naina ww ndo mkuu wao, hata siogopi kurogeka tena maana najua waspowasiliana na ww dawa hazitafanya kazi
Aaamen [emoji120] [emoji120] [emoji123] [emoji109] [emoji817] [emoji845]Ni sawa.
Hata radi ikishateguka utasikia mshindo mkuu smg 20 zilizopigwa kwa pamoja hazikamati lakini ukishuhudia pale site hukuti kitu ni mababulio tu ya moto wakati ngoma inasepa.
Ni vema kujua mambo ya idara zote kwa kujifunza si dhambi wala uchawi ilimradi usimkosee Mungu.
Ninayo makata MSHANA Jr nikuletee mkuuMmh tafuta dawa ya MAKATA utatapika kila kitu. . imekaa kama magadi inapatikana kwa wasambaa
Ngoma nijipange kwanza mana kuingia kwako ni ngoma nzito,nikiambiwa naweza kuingia nitayabeba na kuingia NATO kilingeniSeriously nayahitaji
mshana naomba unijibu ndg yangu ivi kwli wewe ni mchawi? naomba jibu moja kweli au hapana na kama ww ni mchawi huogopi wachawi wenzako kwa kutoa siri zao? na kama sio huu utaalam wa kichawi umeujulia wap??Ganda la risasi halina madhara tena... Mabaki ya bomu lililolipuka pia hayana madhara tena.. Kwakuwa hayawezi kulipuka tena... Sana sana haya huchukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kama sehemu ya ushahidi View attachment 690680hata kwenye mambo yetu haya ya kienyeji, ukishakuta mnyama keshachinjwa.. Unaweza kumchukua na kwenda kula kama kawaida bila madhara yoyote... Ukishakuta nazi nimekwisha palikuwa hakuna kitu tena hapo.. Unaweza hata kuzikanyaga na kama hali ya usafi inaruhusu unaweza hata kula
Nguvu ya tunguli na madawa ya kichawi formula yao ni moja na risasi au bomu.. Risasi ikishakutoka kama imekosa target ikitua ndio kwaheri... Bomu likishalipuka.. Mabaki yake hayana uwezo wala nguvu tena ya kulipuka... Sawasawa na uchawi uliokwisha fanyiwa kazi
Cha kuogopa ninini? View attachment 690681cha kuogopa sana ni risasi ambayo bado haijatoka kwenye bunduki... Ni bomu ambalo halijalipuka.... Sawa tu na uchawi aliotegewa mtu halafu kwa bahati mbaya ikatokea ukakumbana nao.. Kuna uchawi ambao ni universal sawa tu na bomu la kutegwa... Litampata wa kwanza kulikanyaga... Halafu kuna lile la kuset kwa remote ni mpaka mlengwa afike....
Kuna ndugu zangu wa kukumea... Mnapita njiapanda mnakuta tayari madude yalishapasuliwa tangu usiku halafu nyie mnaaza kuyakemea na kuyakwepa...!!!! Jamani tangu lini marehemu akawa na uhai?
Nishakula nazi nyingi sanah za kuokota njia pandaGanda la risasi halina madhara tena... Mabaki ya bomu lililolipuka pia hayana madhara tena.. Kwakuwa hayawezi kulipuka tena... Sana sana haya huchukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kama sehemu ya ushahidi View attachment 690680hata kwenye mambo yetu haya ya kienyeji, ukishakuta mnyama keshachinjwa.. Unaweza kumchukua na kwenda kula kama kawaida bila madhara yoyote... Ukishakuta nazi nimekwisha palikuwa hakuna kitu tena hapo.. Unaweza hata kuzikanyaga na kama hali ya usafi inaruhusu unaweza hata kula
Nguvu ya tunguli na madawa ya kichawi formula yao ni moja na risasi au bomu.. Risasi ikishakutoka kama imekosa target ikitua ndio kwaheri... Bomu likishalipuka.. Mabaki yake hayana uwezo wala nguvu tena ya kulipuka... Sawasawa na uchawi uliokwisha fanyiwa kazi
Cha kuogopa ninini? View attachment 690681cha kuogopa sana ni risasi ambayo bado haijatoka kwenye bunduki... Ni bomu ambalo halijalipuka.... Sawa tu na uchawi aliotegewa mtu halafu kwa bahati mbaya ikatokea ukakumbana nao.. Kuna uchawi ambao ni universal sawa tu na bomu la kutegwa... Litampata wa kwanza kulikanyaga... Halafu kuna lile la kuset kwa remote ni mpaka mlengwa afike....
Kuna ndugu zangu wa kukumea... Mnapita njiapanda mnakuta tayari madude yalishapasuliwa tangu usiku halafu nyie mnaaza kuyakemea na kuyakwepa...!!!! Jamani tangu lini marehemu akawa na uhai?
Unaanza kuniogopesha si umesema tunguli umeachaTunaendeleza jadi