Kuna mabandiko naogopa kuyaweka humu kule facebook niliweka baadhi ya mabandiko kwa kutumia TAFSIDA bahati haikuwa njema kwangu pale nilipo andika profile yangu kuwa nafanya kazi ya uchawi kwa kutumia namba ila profile niliiandika kwa kizungu walivyo itafsiri marafiki wengi walinitenga na kunikimbia kabisa mbaya zaidi post zangu nyingi kule fb zikawa zikishabihiyana na matukio makubwa yaliyo tokea ndiyomaana naogopa kuweka mabandiko humu yasije yakajirudia yaleyale, hahahaa ipo siku naweza kuweka bandiko la uchawi wa kutumia namba