Usiogope mabaki hayana madhara tena

Usiogope mabaki hayana madhara tena

mshana jr

Unamaanisha Mtulia wa Kinondoni na Dr Mollel wa Siha hawana madhara. Au nimekutafsiri ndivyosivyo?
 
Docta mshana ivi mchawi akikuekea mfano irizi kimazingara ktk mwili wako eg tumbo au kichwani vipi unaeza kuitoa ni nini victim afanye ili kuitoa
 
filis kwa sehemu kubwa yale huwa ni mazingaombwe tuu.. Ila kama ni kweli kuna wataalam huweza kutoa kwa kunyweshwa kitu kinaitwa kombe na muathiriwa kutapika
 
Asante ila mnh vinaumiza sana mi ni mhanga nilienda sehem wakanitel ivo wakisema nitoe Sasa bado ninacho kinaniuma sana na naisi uzito sehem ya tumbo
 
Mmh tafuta dawa ya MAKATA utatapika kila kitu. . imekaa kama magadi inapatikana kwa wasambaa
 
Kuna mengine yakishalipuka impact yake ni kubwa madhara yake hayaishi mbele ya jamii japo kuwa ni mabaki
 
Nauliza, hivi uchawi ukweli upo au ni story tu za dunia?
 
Hivi kuna ukweli kwamba ukiwa wa kwanza kupita njia panda mida ya saa kumi au kumi na moja,kama kuna mtu aliogea hapo kwa lengo la kutoa nuksi na mikosi,hizo nuksi zinakukumba wewe uliekua wa kwanza kupita au hizi ni tetesi tu??
 
Kavua hilo roho sasa haliwezi kukaa bila makazi kwahiyo wa kwanza kupita ndo atakuwa mhanga
 
Hahaha sasa hawawachungaji hutolea mapepo kanisani halafu hawayaambii yaende wapi si mabalaa hayo, likimtoka mtu likakuparamia si inakuwa shughuli?! Ukute ni la ngono, unajikuta unaanza kutongoza wapendwa kanisani. Mi ndio maana naenda sabato na katoriki hakuna kutoana mapepo hahaha.
 
Back
Top Bottom