Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,627
Wacheka tena Mkuu [emoji12] [emoji12][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wacheka tena Mkuu [emoji12] [emoji12][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji15] [emoji23] [emoji23] karibu tenaIlikua kibaha kk baa moja pale ndani. Nishasahau jina
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Inaitwa kutega ama kutegewa lakini logik nyingine ni kwamba vinakuwa vimepeperushwa na upepo au magariUkipita pembeni seheme ya njia panda in hatari Sana. Eneo salama njia panda in katikati.
Vitu vibaya njia panda hukaa pembeni vikisubiri mlengwa
Mkuu mshana Jr verify hii
Aaaah. Aaaah! Kumbe hata hizi phantom zinaweza kwenda wrong target! Daah. Technology hatari sana hii!Hatari kubwa kaka... Sio jini tu kuna phantom hurushwa na kukosa ama kukosea target ikikupata ni shida