Usimwamini mwanamke kwa 100% hata siku moja

Usimwamini mwanamke kwa 100% hata siku moja

Achana na wake za watu mkuu, utakuja kuaiibika mkuu.
Wabandueni vizuri ili Waridhike na wasiwe na Tamaa ( Hamu) ya Kubanduliwa nasi sawa?

Sasa kama Mke wa Mtu ukiwa Unambandua anakupa kabisa Madhaifu ya Mumewe kuna Kosa?

Mfano kuna Mke wa Mwanajeshi mmoja ( tena wa Cheo cha Major ) pale Makongo Jeshini huyu kila nikimkwepa na kumwambia Mimi na Yeye iwe basi anasema hawezi na hataki kwani Mumewe japo ana Hela na Maendeleo kibao ila hajui Kumkojolesha kama akiwa nami sasa hapa Mimi Kosa langu ni nini au lipi Mkuu?

Na nitawabandulieni kweli kweli Wake zenu hadi mjifunze Kuwabandua vyema hasa hasa kwa Kuwakojolesha sana sawa?

Hamna Akili.
 
Wabandueni vizuri ili Waridhike na wasiwe na Tamaa ( Hamu) ya Kubanduliwa nasi sawa?

Sasa kama Mke wa Mtu ukiwa Unambandua anakupa kabisa Madhaifu ya Mumewe kuna Kosa?

Mfano kuna Mke wa Mwanajeshi mmoja ( tena wa Cheo cha Major ) pale Makongo Jeshini huyu kila nikimkwepa na kumwambia Mimi na Yeye iwe basi anasema hawezi na hataki kwani Mumewe japo ana Hela na Maendeleo kibao ila hajui Kumkojolesha kama akiwa nami sasa hapa Mimi Kosa langu ni nini au lipi Mkuu?

Na nitawabandulieni kweli kweli Wake zenu hadi mjifunze Kuwabandua vyema hasa hasa kwa Kuwakojolesha sana sawa?

Hamna Akili.
Uko sahihi mkuu.
 
Mwaka 2015 nimewahi kuteswa na msichana wa kuitwa Sharifa, daah!
 
Nashukuru kwa Kunielewa.
Kiufupi sijakuelewa hata kidogo ndugu, lakini nimeheshimu maoni yako.
Kikubwa unaishi maisha yako na una maamuzi yako, ikija kukucost kutembea na wake za watu, mimi sitakuwepo kushuhudia anguko lako, lakini ninachofahamu wanaume tunashauriana mambo ya msingi. Kwa hiyo kwa sasa upo kwenye upande wa kufurahia unachokifanya lakini ikifika muda wa upande mchungu, utalia na kusaga meno, na utalia kwa kila lugha, lakini hakuna atakayekuja kukuokoa, kwa sababu matatizo umejiletea mwenyewe.
 
Sasa hapa ambae sio wakuaminiwa ni mwanamke au wewe? Kwanza umeoa lakini kwa miaka saba unamsaliti mkeo na kuzaa watoto 2 kabisa nje ya ndo( msaliti)
Pili kuwa na mchepuko uliyemzalisha umeona haitoshi umeamua kula na shosti wa mchepuko wako ambae yeye anamchukulia kama dada yake ( msaliti mkubwa). Huu uzi ungesema tuu usimwamini mwanaume. Mkeo anakuamini sana, Sharifa anakuamini mpaka kaacha mtu mwenye malengo ya kumuoa kwa ajili yako ila malipo ni kutembea na shoga yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake nikisema msali namaanisha. Oneni hii dhahma ambayo mke wa huyu kaka imemkuta. Nawaombea wanawake mnaotaman ndoa nzuri..Mungu awaepushe na hili balaa kama huyu mwanaume hapa.

And too bad anajisifu na kujiona yuko sawa kabisa. Some women wameolewa na washirika wa shetani jamani. Hivi mleta mada unaona kabisa ni sawa kufanya uliyoyafanya kwa mkeo?? Huoni kwamba umemkosea sana?? Haya bwana life is a choice and you chose to deliberately hurt her. Ee Mungu turehemu.
 
Pamoja na yote, Sharifa is a good lady. Ingekuwa mwanamke mwingine hepo mngechanganywa kama roast nyama.

Sema sasa usiseme tusiwaamini wanawake, sema binadamu tusisminiane..coz hata mkeo unamsaliti.
 
Haha yaani hata kama hii story ni yakutunga ila imenikumbusha mbali sana

Nakua najiuliza inakuaje hii michepuko inafika muda inamteka mume wa mtu kushinda mke husika na inakua inapewa upendo wote moyoni na kwa mke unaenda 0%

Miaka miwil nyuma nilikua mkoa fulani kikazi siku moja akaja dogo flani hivi black beauty around 23 years hivi ki umri

Kwa kweli kwa mara ya kwanza namuona nilitokea kumpenda sana tena sana basi nikachkua namba ya simu

Siku hio hio mahusiano yakaanza tukawa tunachat mpaka saa 6 usiku hadi wife alianza kushtuka

Nikawa nadanganya naenda safar za kikazi kwa wife kumbe naenda kua na huyo binti siku moja au mbili

Kuna siku moja nilipata seminar mkoa mwengine nikaondoka nae yaan ilikua nikirud lodge ni kukulana tu

Kale katoto kalinivuruga mpaka nikawa nawaza kukaoa then ni mkristo mimi ni muislamu ila sikujali hilo

All in all mungu ni mwema maana ilifika sehem nikamnunulia simu siku moja nilimuomba smu niandike namba flani akaonesha wasi wasi nikasema yes ndo hapa hapa

Ebwanaa weeee nimekuja kuangalia smu kwa lazima kwenye sms sikuamini ninachokiona alikua ametupanga kama 8 hivi na kwa nature ya zile text woooote walikia wanamkula at that time

Nikamuambia kila la kheir dada.....siku hio akaondoka kwa hasira maana nilimuambia ndo basi .....akaenda huko sjui ilikuaje kuaje akapanda private car watu wakambaka......nilikuja kugundua sku ta tatu na alibakwa real


Kwa kwel hadi leo nakakumbuka kale kamdoli kangu kalikua katamu sna ....yaani kuna sku nilikala ufukweni usiku na ule ubaridi like tarzan movies....that moment ni unforgetable....

Samahanini uandishi wangu mbovu sna.
 
Wabandueni vizuri ili Waridhike na wasiwe na Tamaa ( Hamu) ya Kubanduliwa nasi sawa?

Sasa kama Mke wa Mtu ukiwa Unambandua anakupa kabisa Madhaifu ya Mumewe kuna Kosa?

Mfano kuna Mke wa Mwanajeshi mmoja ( tena wa Cheo cha Major ) pale Makongo Jeshini huyu kila nikimkwepa na kumwambia Mimi na Yeye iwe basi anasema hawezi na hataki kwani Mumewe japo ana Hela na Maendeleo kibao ila hajui Kumkojolesha kama akiwa nami sasa hapa Mimi Kosa langu ni nini au lipi Mkuu?

Na nitawabandulieni kweli kweli Wake zenu hadi mjifunze Kuwabandua vyema hasa hasa kwa Kuwakojolesha sana sawa?

Hamna Akili.
 
majina ya Sharifa nahisi yana tatizo. kuna Sharifa zaidi ya wanne nnao wafahamu kama mambo yao yanafanana hivi.
naomba nizungumzie mmoja wao japo natoka nje ya Story naomba nivumiliwe niwape kisanga kilichomkuta mdogo wangu kabisa.

Huyu bwana nae alikuwa na mahusiano na moja kati ya hawa kina sharifa, kipindi hivyo ndio tunaanza maisha tulikuwa tukiishi chumba kimoja mimi na huyu ndugu yangu. wakati huo sisi wote ni madereva wa masafa marefu, sasa ndugu yangu na sharifa wake walikuwa wananikera kitu kimoja, simu za usiku. ndugu yangu anaongea na simu, unalala unastuka saa tisa ile ng'ombe unaikuta bado inaongea na simu na miguu imeweka ukutani maongezi ya kipuuzi puuzi tu, yaan mda mwingine anakesha kabisa, kuna wakati unakuta safari hakuna hali ngumu tumeyumba labda tuna buku nne tunagawana mbilimbili tuishi usiku yule jamaa buku mbili anatia vocha analala njaa ili tu aongee na Sharifa.

Sasa kuna siku mimi sina kitu alafu mwanangu( mdogo wangu tunaishi kishkaji zaidi ) ametoka safaro yuko njema nikamwambia oya babu niungie mwanangu kabla Sharifa ajakukamua ndwange maana najua wewe ni pimbi kwa manzi ako utaenda kutoa ndwange zote huko, kumbe kweli asee Sharifa ashasoma ramani anataka akampukutishe mzigo wote, jamaa akaniambia hapa sina Cash twende TipTop mimi naenda kuonana na Sharifa alafu umuone shemeji yako kisha nitoa ndwange kwa wakala nakupa pesa unayotaka unajikataa mimi naenda kulala Lodge leo na Shemeji yako nataka kuudestroy ule mk**** ah mm nikaona poa shida yangu pesa hayo mambo mengine atajua mwenyewe.

Sasa tumefika Tipi ya Top pale kwenye nakutana na shemeji yangu Pisi imesimamia kucha, nikamsalimia ikabidi nimuache mwamba ajimwambafy sasa mimi nimebaki kwa nyuma nawafuata polepole ukumbuke hapo yule mbuzi ( mdogo wangu hajatoa ndwange bado kwenye simu) na ndio kilichokuwa kinanisubirisha nikawa mpole, wao mnele mm nyuma naangalia mkia wa shemeji na jinsi nnavyomjua dogo mipango aliyokuwa nayo kuhusu ule mkia mm nkakausha.

sasa tumefika apo alikosema anaenda kufanya uzinzi akaniambia Man kaa hapa na shemeji yako agizen msosi mm naenda kufanya muamala pale, nje ya hiyo bar na Lodge ni hapo hapo. mm nikaagiza, shemeji akaagiza mwamba akaenda kutoa mzigo haikupita mda akawa amewasili. akaongea kitu na mwanamke wake akaniita pembeni akanitoa la 20. mm nikamwambia Man nikimaliza kula mm nasepa we si haurudi akasema yap. sasa namaliza pale, mwamba akauliza vip mwanangu hustui japo mbili za kukuboost mpaka home? home kipindi hicho Mabibo. nikaona yap hii fresh, nikasafiri mara mbili fasta fasta. huku shemeji Sharifa yeye akijipigilia savanna taratiibu. sasa cjui ibilisi gani akatokea pale, shemeji akadai jamaa alipie chumba anataka akajisaidie room na sio public toi, mwamba fasta akajitosa mapokezi akafanya yake. akarudi na funguo akampatia.

Sharifa alikuja na kipoch hiki cha kwapani sasa alipoondoka akawa amekiacha juu ya meza, alipotokomea tu, mdogo wangu akachukua ile pochi akafungua zipu akatumbukiza mkono ndani, vikatoka vimlio flan hivi, mwamba akatoa macho, nikamuuliza vipi bab? akajibu k******mae, akautoa mkono chap! akasema mwanangu huyu dem, kabla hajamalizia akaingiza tena mkono ulipotoka akawa ametoka na condom kama tisa hv ziko moja moja, akaziweka mezani, akazama tena akatoka na zingine za kutosha, dah mimi nilicheka sanakwa sababu ni tukio ambalo lilikuwa linafurahisha mno ukizingatia mimi nilishamchanaga dogo yule demu anaonekana dhahir shahiri ni chura., sasa wakati anaendelea kuingiza mikono mle ndani akaibuka na Uume bandia mkubwa tu wa zambarau yaani kipisi tu cha kutosha, hapo nilicheka mpaka beer nikamwaga. nikainuka zangu, jamaa akakibidua kilebki mkoba akaanza kukikunguta, kufungua zip ya pembeni akakutana na ki uume kingine hichi kidogo kidogo cha rangi ya maziwa. Akaniambia X leo naua. nikamwambia man mm ngoja niende zangu home. msubiri dem wako akakubandue sijui mkabanduane, nikaondoka nacheka, dogo nikamuacha kapanic sana. kutoka tu pale mimi nikazima simu..asubui nikaenda kumuwekea dhamana dogo pale Urafiki police.
 
Kama story ni ya kweli ndiyo maana wizi wa pesa za serikali na kuandikiwa imprest za uongo ili kuhudumia michepuko utazidi kuendelea. Ahsante mleta mada lakini umejishusha sana kwa haya maisha. Just imagine mke wako akija jujua unamsaliti utajificha wapi. Si utamuua kwa pressure. Mungu akuhurumie tu maana unachokifanya akieleweki. Tomorrow you are going to reap what you are planting today.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom