Usimwamini mwanamke kwa 100% hata siku moja

Usimwamini mwanamke kwa 100% hata siku moja

Tunasubiri TRUE STORY ya Mke wako sasa. Sijui ataileta kwa Jina la Kutokumwamini MWANAUME KWA ASILIMIA 100
 
Dar es salaam hakuna wanaume, kuna makabeji(cabbages).
Hovyo kabisa.
Huku Kuna papuchi mpaka za buku tatu... watu hawagombei au kupigania au kuuana kwa ajili ya mwanamke kama wanaume wa vijijini.

Tena hao dada zenu wa vijijini wanakimbilia huku.
 
Pale Tiptop Kuna sehemu kiingilio kinywaji chako (hata soda) ukifika ndani unajichagulia tu.
 
majina ya Sharifa nahisi yana tatizo. kuna Sharifa zaidi ya wanne nnao wafahamu kama mambo yao yanafanana hivi.
naomba nizungumzie mmoja wao japo natoka nje ya Story naomba nivumiliwe niwape kisanga kilichomkuta mdogo wangu kabisa.

Huyu bwana nae alikuwa na mahusiano na moja kati ya hawa kina sharifa, kipindi hivyo ndio tunaanza maisha tulikuwa tukiishi chumba kimoja mimi na huyu ndugu yangu. wakati huo sisi wote ni madereva wa masafa marefu, sasa ndugu yangu na sharifa wake walikuwa wananikera kitu kimoja, simu za usiku. ndugu yangu anaongea na simu, unalala unastuka saa tisa ile ng'ombe unaikuta bado inaongea na simu na miguu imeweka ukutani maongezi ya kipuuzi puuzi tu, yaan mda mwingine anakesha kabisa, kuna wakati unakuta safari hakuna hali ngumu tumeyumba labda tuna buku nne tunagawana mbilimbili tuishi usiku yule jamaa buku mbili anatia vocha analala njaa ili tu aongee na Sharifa.

Sasa kuna siku mimi sina kitu alafu mwanangu( mdogo wangu tunaishi kishkaji zaidi ) ametoka safaro yuko njema nikamwambia oya babu niungie mwanangu kabla Sharifa ajakukamua ndwange maana najua wewe ni pimbi kwa manzi ako utaenda kutoa ndwange zote huko, kumbe kweli asee Sharifa ashasoma ramani anataka akampukutishe mzigo wote, jamaa akaniambia hapa sina Cash twende TipTop mimi naenda kuonana na Sharifa alafu umuone shemeji yako kisha nitoa ndwange kwa wakala nakupa pesa unayotaka unajikataa mimi naenda kulala Lodge leo na Shemeji yako nataka kuudestroy ule mk**** ah mm nikaona poa shida yangu pesa hayo mambo mengine atajua mwenyewe.

Sasa tumefika Tipi ya Top pale kwenye nakutana na shemeji yangu Pisi imesimamia kucha, nikamsalimia ikabidi nimuache mwamba ajimwambafy sasa mimi nimebaki kwa nyuma nawafuata polepole ukumbuke hapo yule mbuzi ( mdogo wangu hajatoa ndwange bado kwenye simu) na ndio kilichokuwa kinanisubirisha nikawa mpole, wao mnele mm nyuma naangalia mkia wa shemeji na jinsi nnavyomjua dogo mipango aliyokuwa nayo kuhusu ule mkia mm nkakausha.

sasa tumefika apo alikosema anaenda kufanya uzinzi akaniambia Man kaa hapa na shemeji yako agizen msosi mm naenda kufanya muamala pale, nje ya hiyo bar na Lodge ni hapo hapo. mm nikaagiza, shemeji akaagiza mwamba akaenda kutoa mzigo haikupita mda akawa amewasili. akaongea kitu na mwanamke wake akaniita pembeni akanitoa la 20. mm nikamwambia Man nikimaliza kula mm nasepa we si haurudi akasema yap. sasa namaliza pale, mwamba akauliza vip mwanangu hustui japo mbili za kukuboost mpaka home? home kipindi hicho Mabibo. nikaona yap hii fresh, nikasafiri mara mbili fasta fasta. huku shemeji Sharifa yeye akijipigilia savanna taratiibu. sasa cjui ibilisi gani akatokea pale, shemeji akadai jamaa alipie chumba anataka akajisaidie room na sio public toi, mwamba fasta akajitosa mapokezi akafanya yake. akarudi na funguo akampatia.

Sharifa alikuja na kipoch hiki cha kwapani sasa alipoondoka akawa amekiacha juu ya meza, alipotokomea tu, mdogo wangu akachukua ile pochi akafungua zipu akatumbukiza mkono ndani, vikatoka vimlio flan hivi, mwamba akatoa macho, nikamuuliza vipi bab? akajibu k******mae, akautoa mkono chap! akasema mwanangu huyu dem, kabla hajamalizia akaingiza tena mkono ulipotoka akawa ametoka na condom kama tisa hv ziko moja moja, akaziweka mezani, akazama tena akatoka na zingine za kutosha, dah mimi nilicheka sanakwa sababu ni tukio ambalo lilikuwa linafurahisha mno ukizingatia mimi nilishamchanaga dogo yule demu anaonekana dhahir shahiri ni chura., sasa wakati anaendelea kuingiza mikono mle ndani akaibuka na Uume bandia mkubwa tu wa zambarau yaani kipisi tu cha kutosha, hapo nilicheka mpaka beer nikamwaga. nikainuka zangu, jamaa akakibidua kilebki mkoba akaanza kukikunguta, kufungua zip ya pembeni akakutana na ki uume kingine hichi kidogo kidogo cha rangi ya maziwa. Akaniambia X leo naua. nikamwambia man mm ngoja niende zangu home. msubiri dem wako akakubandue sijui mkabanduane, nikaondoka nacheka, dogo nikamuacha kapanic sana. kutoka tu pale mimi nikazima simu..asubui nikaenda kumuwekea dhamana dogo pale Urafiki police.
We fala sana ukamuacha mwamba amuue shemeji yake...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom