mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
Shs ngap???Kuna demu nimemkopesha yaani kila sku ananitengenezea mazingira nmtongozee Ila nkikumbua pesa yngu ata hamu inakata...
Shs ngap???Kuna demu nimemkopesha yaani kila sku ananitengenezea mazingira nmtongozee Ila nkikumbua pesa yngu ata hamu inakata...
' Kuna mchongo nausikilizia' hahahahahaSiku sio nyingi nitamfunga kaka yangu kwa sababu ya kushindwa kulipa 2m. sasa hivi hapokei simu. Nimemtumia sms nitamnyoosha na undugu ufe tu. Usikopeshe ndugu mdau
Nyinyi mnaoendelea kukopesha ndo mna lea tatizoHii imenitokea na sasa imenip mtizamo mpya...mara nyingi nimekuwa mwepesi wa kusaidia na rafiki akinicheki kwa shida yake sijiulizi sana.
Hizi hela ndogo za kuwa nisaidie 50k, 30k hapo nitarejesha baada ya siku 2...nimezitoa na nyingi hazirejeshwi na wahusika. Anakausha kana kwamba hajui chochote vile.
Hawa watu wasio waaminifu wanafanya kuwasaidia watu wahitaji iwe ngumu...
Yap wanawake hawanaga mbwembwe , akikuzungusha Sana unajipimia kama mke , full stop ...Ila Wana daaah ....Siku hizi nakopesha wanawake tu maana huwa hawana longo longo
Maandishi yapi mkuu mimi nadai laki moja na tuliandikishiana polisi huu ni mwezi wa 7 hamna kilichopatikana.Kopesha kwa maandishi
Usikopeshe Rafiki kizembe...urafiki utakufa na Pesa hakurudishii
Pesa ni kitu kingine man
50k nduguShs ngap???
Hata kwa maandishi haisaidii labda akifa ndg wamlipie kama ushahidi lakini ukienda kushitaki kosa linakurudia wewe unakopa bila leseniKopesha kwa maandishi
Usikopeshe Rafiki kizembe...urafiki utakufa na Pesa hakurudishii
Pesa ni kitu kingine man
Endelea kuomba MUNGU uwe ni mwenye hali nzuri kiuchumi
la hasha kuna siku utaomba pesa mtoto mdogo akukopeshe maana mnadhani wanaokujaga kukopa wanapenda
Wewe kama unajijua ni rafiki yangu kindakindaki nikikukopa ujue sikulipi, marafiki hatukopeshani marafiki tunasaidiana.