Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Kwamba uwa hukopi na kukopesha? 😆Kuna mambo yanakatisha tamaa sana...

Deni la HESLB umelimaliza?Hakuna kitu naogopa kama kudaiwa
Sikopi bali nakopesha na mara zingine hua natoa bila kukumbuka...Kwamba uwa hukopi na kukopesha? 😆
Endelea kuomba MUNGU uwe ni mwenye hali nzuri kiuchumiMimi hii biashara nimeshaiacha tangu mwaka jana. SIKOPESHII
Naja kukopa boss 😀Sikopi bali nakopesha na mara zingine hua natoa bila kukumbuka...
Vumilia... hizo tabia zikikomaa utachafua Jina na utakosa baraka ktk kipato chako... bora kuomba kuliko kukopa halafu bila kurejesha!!Kukopa kwa mtu? Sijawahi ila nataka kujaribu
Nishawahi kukopa branch na salary advance
Mimi huwa nafanya kama nawapa tu, hata tukiagana nakopesha.Naandika haya nikiwa na machungu sana,
Siku hizi uaminifu umepotea sana tena ni adimu kama cent 5 hasa kwenye suala la pesa.
Mwaka jana nilikopesha sana watu na asilimia kubwa ni hawa "marafiki na workmates" siyo kwamba ninafedha hapana, hapa nilipo hata uwanja tu sina.
Mtu anakuja anakueleza matatizo yake na unamwambia kwakweli saizi sina kitu, anakubembeleza weeeee mwisho unamwonea huruma unaamua kuingia kwenye account na kumpa kiasi kadhaa.
Muda wa kurejesha ukifika sasa maelezo yanaanza kuwa mengi mara ooh subiri kidogo matikiti yapo shamba wiki ijayo naenda kuvuna, baada ya wiki ukimpigia simu hapokei na ikipokelewa anapokea mkewe tena anakuambia mwenye simu hayupo
Wengine sasa... Brother naomba nivumilie kidogo mwisho wa mwezi nitarekebisha then anaingia mitini. Juzi jamaa kanipigia simu (saizi yupo chuoni) ameenda kujiendeleza na ni mwajiriwa serikalini, aliniomba nimtumie hela kwani amekwama sana nikamjibu sina then nikakata simu yake, huyo jamaa mwaka 2017 nilimkopesha laki kwa makubaliano atarudisha mwisho wa mwezi lakini akatokomea kusiko julikana na mimi niliamua tu kusamehe.
Leo nimeamka nikapiga hesaba kama watu wote wangenirudishia hela yangu ningekuwa na kiasi fulani cha pesa nikabaki nahuzunika tu nakujiona kumbe mimi mjinga sana
Saizi sitaki kabisa mchezo na pesa yangu, hela yangu watapata ndugu wa damu moja na wazazi FULL STOP.
Pasa sikulipi na urafiki uisheKuna mtu ana milioni 4.5 yangu aliniahidi kati ya mwezi atalipa siku zimepita naona kimya, mishahara imetoka napo naona kimya sasa leo iwe mbwai alipe pesa yangu ama urafiki ufe.
Mtu awapo na shida anakuwa anatia huruma kweli pindi ukimkopesha tu akatatua matatizo yake usumbufu unaanza, watu wa kariba hii sio wa kuwasaidia kabisa.
Nimejifunza.
Ongeza na pisi Kali tu ndio watakao kula hela yakoNaandika haya nikiwa na machungu sana,
Siku hizi uaminifu umepotea sana tena ni adimu kama cent 5 hasa kwenye suala la pesa.
Mwaka jana nilikopesha sana watu na asilimia kubwa ni hawa "marafiki na workmates" siyo kwamba ninafedha hapana, hapa nilipo hata uwanja tu sina.
Mtu anakuja anakueleza matatizo yake na unamwambia kwakweli saizi sina kitu, anakubembeleza weeeee mwisho unamwonea huruma unaamua kuingia kwenye account na kumpa kiasi kadhaa.
Muda wa kurejesha ukifika sasa maelezo yanaanza kuwa mengi mara ooh subiri kidogo matikiti yapo shamba wiki ijayo naenda kuvuna, baada ya wiki ukimpigia simu hapokei na ikipokelewa anapokea mkewe tena anakuambia mwenye simu hayupo
Wengine sasa... Brother naomba nivumilie kidogo mwisho wa mwezi nitarekebisha then anaingia mitini. Juzi jamaa kanipigia simu (saizi yupo chuoni) ameenda kujiendeleza na ni mwajiriwa serikalini, aliniomba nimtumie hela kwani amekwama sana nikamjibu sina then nikakata simu yake, huyo jamaa mwaka 2017 nilimkopesha laki kwa makubaliano atarudisha mwisho wa mwezi lakini akatokomea kusiko julikana na mimi niliamua tu kusamehe.
Leo nimeamka nikapiga hesaba kama watu wote wangenirudishia hela yangu ningekuwa na kiasi fulani cha pesa nikabaki nahuzunika tu nakujiona kumbe mimi mjinga sana
Saizi sitaki kabisa mchezo na pesa yangu, hela yangu watapata ndugu wa damu moja na wazazi FULL STOP.
Jamani naombeni mfanye donei, angalau nami niache kukopa kopa , mkinipm ndatoa namba ya kudonate .Sawa.. acha tufanye donei
Tatizo alikuwa mleviHahahaha mkiwa marafiki epuken sana kukopeshana
Bora umpe kama msaada lkn sio kukopeshana
Nasema ivi mtagombana, urafiki uishe
Mwanangu mmoja, siku ya Ijumaa, usikua wa saa sita, mwezi wa 1 mwaka jana , ananipigia simu..Oya Oyaaa Blood, naabika kaka, Nitumie Laki na ishirin ,jumatatu nakupa.
Nikamuuliza vipi?? Kuna usalama?? ..ananijibu yupo na Madem wanakunywa pombe
Yeye jamaa ni mnywaji wa pombe sanaaa yaan sanaaaaaa.
Basi nikamtumia 125 .
Mpaka Leo ,nawambia ivi mpaka leo hakuwahi nirudishia, urafiki ukapoteza mwelekeo.
Juzi ananitumia meseji...Kaka kaka ninaomba msaada wa elfu thelathin nimekwama hapa nilipo sijala.
Nikamwambia, Mwenyewe toka jana usiku Sijala kitu.
Akaisha kunijibu....Daaahh kudadeki ,siku ya kufa nyani
Namm nikamjibu..ndo ivo anakufa tu siku yake.
NB.. Toka ile 125 ,akawa anashindwa hata kujuliana hali, Leo hii amekamatwa ndo ananitafuta???
Ndugu tusilaumiane uukikataza watu kukopesha tutapata wapi sapotiNaandika haya nikiwa na machungu sana,
Siku hizi uaminifu umepotea sana tena ni adimu kama cent 5 hasa kwenye suala la pesa.
Mwaka jana nilikopesha sana watu na asilimia kubwa ni hawa "marafiki na workmates" siyo kwamba ninafedha hapana, hapa nilipo hata uwanja tu sina.
Mtu anakuja anakueleza matatizo yake na unamwambia kwakweli saizi sina kitu, anakubembeleza weeeee mwisho unamwonea huruma unaamua kuingia kwenye account na kumpa kiasi kadhaa.
Muda wa kurejesha ukifika sasa maelezo yanaanza kuwa mengi mara ooh subiri kidogo matikiti yapo shamba wiki ijayo naenda kuvuna, baada ya wiki ukimpigia simu hapokei na ikipokelewa anapokea mkewe tena anakuambia mwenye simu hayupo
Wengine sasa... Brother naomba nivumilie kidogo mwisho wa mwezi nitarekebisha then anaingia mitini. Juzi jamaa kanipigia simu (saizi yupo chuoni) ameenda kujiendeleza na ni mwajiriwa serikalini, aliniomba nimtumie hela kwani amekwama sana nikamjibu sina then nikakata simu yake, huyo jamaa mwaka 2017 nilimkopesha laki kwa makubaliano atarudisha mwisho wa mwezi lakini akatokomea kusiko julikana na mimi niliamua tu kusamehe.
Leo nimeamka nikapiga hesaba kama watu wote wangenirudishia hela yangu ningekuwa na kiasi fulani cha pesa nikabaki nahuzunika tu nakujiona kumbe mimi mjinga sana
Saizi sitaki kabisa mchezo na pesa yangu, hela yangu watapata ndugu wa damu moja na wazazi FULL STOP.
Kweli Yani , Mana niliowakopa walinikuta napiga kazi sehemu flani na nikawa boss wao na kuwatrain, hafu leo nawakopa baada ya kubanwa mbavu na Ela wasinitoe, wajinga sana Hawa madogo,Endelea kuomba MUNGU uwe ni mwenye hali nzuri kiuchumi
la hasha kuna siku utaomba pesa mtoto mdogo akukopeshe maana mnadhani wanaokujaga kukopa wanapenda
Madeni sio mchezo Yani?Huu uzi umenifanya mpaka nitake kujinyea sio kwa mikopo hii niliyoshindwa kuirudisha kwa ndugu ,jamaa na marafiki .Nia ninayo ila shekeli ndio zimeota mbawa.