walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,520
Akikujibu nistueSawa tumekuelewa ila umekula
Mie anaefupisha maneno kama wino unaisha ndo usiseme. Hiz?? Hua? 😁😁nikiona hiz maneno(siwezagi) hua napoteza attention ya kuchat kabisaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah umeuaMie anaefupisha maneno kama wino unaisha ndo usiseme. Hiz?? Hua?
Ha ha ha ha sasa unataka kuniambia Ananipima upendo wangu kwake kwa njia ya Pesa auUtakuta kaombwa 5000.KAAMUA KUANZISHA UZI...MKUU...KUHONGA KUNAKUONGEZEA SIFA ZA KIUME...MWANAMKE anapenda awe sehemu salama,,,sasa kama 5000 mnasumbuana,,,UNAWEZA KUMFANYIA NN KINGINE?Siku zote MWANAMKE akija kwako elewa kuna kitu kimemvuta kwako so special.,,AKISHAKUWA WAKO,,,HAPO NDY ANAANZA KUPENDA KWELI....,,
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha kwa nini sasa UkamblockKuna siku mtu aliniomba namba nikampa.
Baadae akanitumia SMS.
"Xaxa xixta, mi2 nimekuerewa. Urinipa namba yakk ...." Nikamblock hapo hapo.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahahaha wacha mambo yako weweMKALI WA MAMBO hii attachment ulioweka hapa ndiyo umetibua sana sijawahi kuona kizazi chenye uandishi mbovu kama kizazi cha kisasa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa Upo katika hatua gani sasaHahaaa. Hapana Mtani.
Ujue kuna hatua na hatua za kupigana vibomu sa mi nshaipita Mtani.