Tee wife material
JF-Expert Member
- Jan 15, 2019
- 323
- 350
Unazidi kumtumia tu mpaka leo hamjaonana
Utakuta kaombwa 5000.KAAMUA KUANZISHA UZI...MKUU...KUHONGA KUNAKUONGEZEA SIFA ZA KIUME...MWANAMKE anapenda awe sehemu salama,,,sasa kama 5000 mnasumbuana,,,UNAWEZA KUMFANYIA NN KINGINE?Siku zote MWANAMKE akija kwako elewa kuna kitu kimemvuta kwako so special.,,AKISHAKUWA WAKO,,,HAPO NDY ANAANZA KUPENDA KWELI....,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Vikwazo gani kama unazidi kutoa hela hata kama ni ndogoNilishamuwekea vikwazo vya kiuchumi
Na kweli aisee
Hayo yapo, Tena Mimi mwewe yamenitokea wiki mbili zilizopita Nika shtuka kabla ya kufika mbali, imekula kwake hiyo.Yani hiyo conservation ni ww meenyewe ulkuwa unajitext na kujijib
Sent using Jamii Forums mobile app
Vikwazo gani kama unazidi kutoa hela hata kama ni ndogo
Huyu mwana nimemkubali ni mjanja hataki kuliwa pesa kizembe now tuko dunia ya nipe nikupe.....Naamini kuna wanaume washapigwa sana pesa na wapo ambao wanaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja wa kina dada wa mujini.View attachment 1002476
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hauko makini na pesa zako ..Mimi natoa pesa sehemu husika tuu ,demu atapata huduma yangu nikiwa naye na sio kumpa cash,Hahaha, nina wangu tulikutana group la wassap huko kidogo baby pesa ya saloon, namtumia, mara pesa ya kubandikia kucha namtumia kuonana hataki.
Nikasema hanijui, akituma sms namjibu fresh tu, akisema saloon namtumia buku tatu namwambia hiyo pesa ya saloon kanyoe hizo nywere gharama.
Akituma sms ya kubandika kucha namtumia buku jero , namwambia nenda kanunue kiwembe ukate hizo kucha ni gharama.
Akiomba vocha namtumia kawaida tu, sasa kakoma haombi pesa ya saloon wala kubandika kucha.
Endelea kuliwa mkuuKweli namtumia but sio kama mwanzo, kumbuka mwanzo alikuwa ananicontrol yani akisema siwezi mgomea kwanza mtoto mzuri sio feki.
Sometimes nipo ofisin anapiga simu video call yupo na kanga moja mtoto Mashalaah na ile hamu hamu ya penzi jipya acha kabisa, kumbe ni tapeli.
Nikaja jiuliza yule anaweza akawa anaingiza pesa nyingi sana kupitia staili yake ile ya maisha.
Jiwe kafungulia watutsi wenzake wameingia sana kwa wingi.Hivi inakuje mtu anashindwa kuandika kiswahili japo hata vizuri kidogo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Babe wewe siunaandikaga poa wala hunaga zile x x na tyu tyu?alafu unakuta pisi kali kichizi inaandika utumbo hivyo
mkuu unajiweza eti
![]()

Na sonyo juuKuna siku mtu aliniomba namba nikampa.
Baadae akanitumia SMS.
"Xaxa xixta, mi2 nimekuerewa. Urinipa namba yakk ...." Nikamblock hapo hapo.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
wakati huo ujue kuna familia zinaishi chini ya dola moja, why usisaidie wasio jiweza kuliko hawa majangili..Mkuu buku mbili kwa sasa sio kitu, elfu kumi ukiichenchi ujue imeisha mtu amezoea kutumiwa hamsini, 30, 20 elfu, ghafra unamtumia buku jero lazima ajitathmini wapi anakosea
wewe ni mpenzi mtazamajiSijamuona mkuu, na sitaki kuonana nae, baada ya kumuwekea vikwazo akajirudi ooh nitumie pesa ya bajaji nije mimi nakaa Tabata yeye mbezi beach nikamwambia nikipata nitakutumia.mpaka leo sijamtumia ila tunachati kama frends tu tukipata muda.



Mzuri vp wakati bado hamjaonana, kaka umeanza kuyumbaKweli namtumia but sio kama mwanzo, kumbuka mwanzo alikuwa ananicontrol yani akisema siwezi mgomea kwanza mtoto mzuri sio feki.
Sometimes nipo ofisin anapiga simu video call yupo na kanga moja mtoto Mashalaah na ile hamu hamu ya penzi jipya acha kabisa, kumbe ni tapeli.
Nikaja jiuliza yule anaweza akawa anaingiza pesa nyingi sana kupitia staili yake ile ya maisha.


