ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,465
- 67,478
Ndio loving sizipendi hata kidogo[emoji847]Babe wewe siunaandikaga poa wala hunaga zile x x na tyu tyu? [emoji851]
Ndio loving sizipendi hata kidogo[emoji847]Babe wewe siunaandikaga poa wala hunaga zile x x na tyu tyu? [emoji851]
Xaxa xixta kwa nn urimbroki wkt kaka wa wa2 arikua amekuerewa kinoma.Kuna siku mtu aliniomba namba nikampa.
Baadae akanitumia SMS.
"Xaxa xixta, mi2 nimekuerewa. Urinipa namba yakk ...." Nikamblock hapo hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ndio maana nakupendaga babe. Umzima lakini?Ndio loving sizipendi hata kidogo[emoji847]
Sijambo babe kukumiss tu[emoji847]Ndio maana nakupendaga babe. Umzima lakini?
Mimi pia sijambo kabisa. Nafarijika kujua kuwa hujambo. [emoji4]Sijambo babe kukumiss tu[emoji847]
Za kwako?
Mzuri vp wakati bado hamjaonana, kaka umeanza kuyumba[emoji51][emoji51][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechoka ghafla.Hivi inakuje mtu anashindwa kuandika kiswahili japo hata vizuri kidogo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hauko makini na pesa zako ..Mimi natoa pesa sehemu husika tuu ,demu atapata huduma yangu nikiwa naye na sio kumpa cash,
From profile picture to proper future
[emoji23]sasa ningempeleka wapi mimi.Xaxa xixta kwa nn urimbroki wkt kaka wa wa2 arikua amekuerewa kinoma.
Maendeleo hayana chama
nikiona hiz maneno(siwezagi[emoji115][emoji115][emoji115]) hua napoteza attention ya kuchat kabisaa..Nimechoka ghafla.
Mi kuchat hivi siwezagi
Xaxa xixta kama mtu kweri amekuerewa xi unakua unamfundixha taratibu mpk na yeye anaerewa kuandika vzr jmn?[emoji23]sasa ningempeleka wapi mimi.
Huwa nina vigezo ambavyo navizingatia kwa mtu ninapoamua kumkubalia kuwa rafiki au mpenzi.
Na kigezo cha kwanza ni kujua kusoma na kuandika kwa usahihi lugha ya kiswahili.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mwanaume akiwa hajui kuandika vizuri hata ladha anakuwa hana. Sipotezi hata muda kumfundisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We² xikublok .Xaxa xixta kama mtu kweri amekuerewa xi unakua unamfundixha taratibu mpk na yeye anaerewa kuandika vzr jmn?
Kwa hio hata mimi utanibroki jmn?
Maendeleo hayana chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume akiwa hajui kuandika vizuri hata ladha anakuwa hana. Sipotezi hata muda kumfundisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. We² xikublok .
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Wenyewe wanaita swagger.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hawa vijana wa sasa hivi wamenishinda tabia yaani sijui huko shuleni walienda kusomea ujinga.
Yaani kijana aliemaliza kidato cha nne anaweza kukutumia sms ukashindwa hata kuelewa ujumbe na makusudio yake.
Maendeleo hayana chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenyewe wanaita swagger.
Kuna mdogo wangu alinitumia msg ya ajabu / swagger nikamuuliza hauwezi kuandika vizuri? Akaniambia "dyadya inamaana hizi xwaga hazijafika huko?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.