MKALI WA MAMBO hii attachment ulioweka hapa ndiyo umetibua sana sijawahi kuona kizazi chenye uandishi mbovu kama kizazi cha kisasa,Naamini kuna wanaume washapigwa sana pesa na wapo ambao wanaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja wa kina dada wa mujini.View attachment 1002476
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani kwani wewe hupigi vibomu shemeji yanguUuwiii. Leo hiyooo. Duuh.
Kama we ni mwana Umma anajua Salary tayari huyoo.
Na hujamwonaHahaha, nina wangu tulikutana group la wassap huko kidogo baby pesa ya saloon, namtumia, mara pesa ya kubandikia kucha namtumia kuonana hataki.
Nikasema hanijui, akituma sms namjibu fresh tu, akisema saloon namtumia buku tatu namwambia hiyo pesa ya saloon kanyoe hizo nywere gharama.
Akituma sms ya kubandika kucha namtumia buku jero , namwambia nenda kanunue kiwembe ukate hizo kucha ni gharama.
Akiomba vocha namtumia kawaida tu, sasa kakoma haombi pesa ya saloon wala kubandika kucha.
hizo buku jero zenyewe haziumi akiomba etiHahaha, nina wangu tulikutana group la wassap huko kidogo baby pesa ya saloon, namtumia, mara pesa ya kubandikia kucha namtumia kuonana hataki.
Nikasema hanijui, akituma sms namjibu fresh tu, akisema saloon namtumia buku tatu namwambia hiyo pesa ya saloon kanyoe hizo nywere gharama.
Akituma sms ya kubandika kucha namtumia buku jero , namwambia nenda kanunue kiwembe ukate hizo kucha ni gharama.
Akiomba vocha namtumia kawaida tu, sasa kakoma haombi pesa ya saloon wala kubandika kucha.
Hahahaha.....Unatoa wapi nishati ya kuchati na mtu anaandika kama anahara?
Hahaaa. Hapana Mtani.
Si kwamba hawajui kuandika wengine wanakuwa na kitete cha kupiga mizinga kwa iyo anaandika faster faster.. Na sisi wanaume tunakua na kitete cha kupigwa mzinga, ni lazima tu mwandiko uende mrama..Wimbi la watu wasiojua kuandika kiswahili fasaha linaongezeka kwa kasi sana...sijui tunakwama wapi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app

alafu unakuta pisi kali kichizi inaandika utumbo hivyo
mkuu unajiweza eti
![]()

Hahaha, nina wangu tulikutana group la wassap huko kidogo baby pesa ya saloon, namtumia, mara pesa ya kubandikia kucha namtumia kuonana hataki.
Nikasema hanijui, akituma sms namjibu fresh tu, akisema saloon namtumia buku tatu namwambia hiyo pesa ya saloon kanyoe hizo nywere gharama.
Akituma sms ya kubandika kucha namtumia buku jero , namwambia nenda kanunue kiwembe ukate hizo kucha ni gharama.
Akiomba vocha namtumia kawaida tu, sasa kakoma haombi pesa ya saloon wala kubandika kucha.

mbaya sana weweWengi mno hawa hasa wapiga mizinga!!Kweli mkuu nina demu wangu mkali ila kweny coconut yake zero sms mpaka nimwambie dia tenganisha maneno na space bar hapo chini sio kwa full stop na anavyopenda kufupisha maneno duh hatari huwa navumilia some times huwa na mpigia tuonge tu sio sms..
Ila nampenda kiK***@
Kuna siku mtu aliniomba namba nikampa.
Baadae akanitumia SMS.
"Xaxa xixta, mi2 nimekuerewa. Urinipa namba yakk ...." Nikamblock hapo hapo.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Kutofautosha L na R ni ugonjwa wa walio wengi kwa sasa.Wimbi la watu wasiojua kuandika kiswahili fasaha linaongezeka kwa kasi sana...sijui tunakwama wapi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizazi cha .com hicho Mtani.MKALI WA MAMBO hii attachment ulioweka hapa ndiyo umetibua sana sijawahi kuona kizazi chenye uandishi mbovu kama kizazi cha kisasa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mtani wangu wa ukweli, shemeji yangu ana raha sana kumpata mtu kama weweHahaaa. Hapana Mtani.
Ujue kuna hatua na hatua za kupigana vibomu sa mi nshaipita Mtani.
kwa mgeni anae jifunza kiswahili akiona hiyo misamiati hapo hapo anaghairi.. Anaweza hisi anajifunza kibushiman(kile cha kuzungumza kwa kufyonza fyonza)Itakuwa![]()