Usikubali kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa

Usikubali kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa

Yeyote anayefanya tendo la ndoa nje ya ndoa anafanya jambo linalomchukiza Mungu...acha Mara moja
Unazungumzia ndoa katika muktadha upi?Maana kuna ndoa za kimira,ndoa za kiserkali na ndoa za kidini
 
Mchungaji naomba uniombee nipate mume mwema toka kwa Mungu
shida ya wanaume n kuonja onja na hajuh ata oa lin kwel kwa staili ukimwi haushi na wanavopenda kutembea bila salama ahaaaa ohooo m nakuamin hamna shida ...... vijana huu mtihani tujinasue nao.....
 
Kuzini si kwa kile kitendo tu
Hata kumtamani mwanamke tayari umezini
Na ukivunua amri moja umevunja zote
 
Kwa mara ya kwanza hii forum imetambua uwepo wa dhambi
 
Back
Top Bottom