Usikubali kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa

Usikubali kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa

Ya FAA sasa hii janga liitwe kansa, maana tiba take imetafutwa siku nyingi, haijapatikana na haitapatikana , watu wasubiri tu moto tu
 
Mchungaji kwakua hujaoa, ukihisi vi hamu hamu huwa unafanyaje?
Inatakiwa utupe mbinu wanakondoo jinsi ya kuikimbia hiyo dhambi
Naona unatafuta huruma ya mtumishi ili uendeleze uzinzi wako
 
Umechelewa cku hz wanafanya hata baada ya kutoka honeymoon mchungaj...
 
Sasa km mtu umefkisha miaka 30 na hamna ht mmoja aliyeonesha ushirikiano wa kukuoa utafanyaje? Na wanaokutongoza n waume za watu tu.

Hii ht zaman ilkuwepo ya kuzn ila ikitokea umekosa mume kuzn hakuzuiliki
 
Back
Top Bottom