Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Yes!..... Umenipa wazo zuri sana, ubarikiwe katika jina la yesu binti mwema!Nawe kuwa mchungaji😀
Yes!..... Umenipa wazo zuri sana, ubarikiwe katika jina la yesu binti mwema!Nawe kuwa mchungaji😀
Mtumishi Nasubiri jibu ili niondoke hapaMtasalimia baada ya somo please
Jibu la swali gani bintiMtumishi Nasubiri jibu ili niondoke hapa
Ila guyz this issue ni imani tu,Yeyote anayefanya tendo la ndoa nje ya ndoa anafanya jambo linalomchukiza Mungu...acha Mara moja
Ndiyo ni imaniIla guyz this issue ni imani tu,
Dah sawa bwana ngoja niombe tuJibu la swali gani binti
AmenNi kweli nitaliombea lije kwangu, sema Amina tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtumishi Nasubiri jibu ili niondoke hapa
Ntakusaidia pia kukuombea bintiNi kweli nitaliombea lije kwangu, sema Amina tafadhali
Niko poa dadakeNipo.... Mamboz?
Somo tulisha soma hapo juu, humu unajibu maswaliMtasalimia baada ya somo please
Bado linaendelea kwa maswali na majibu pia michangoSomo tulisha soma hapo juu, humu unajibu maswali
Kwa kifupi somo ni zuri na nina liishi, endelea kujibu tuBado linaendelea kwa maswali na majibu pia michango
Ni vyema mpendwa endelea kuomba Mungu akuwezeshe kuishi hivyoKwa kifupi somo ni zuri na nina liishi, endelea kujibu tu
AmenNi vyema mpendwa endelea kuomba Mungu akuwezeshe kuishi hivyo
Nani alikwambia uchungaji ni mpaka uwe umeoa kijana?Utakuwaje mchungaji hujaoa...?
Ila huyu mchungaji Mimi ninawasiwasi nae alifuata nini MMUMtumishi Nasubiri jibu ili niondoke hapa