mchungaji7
Senior Member
- Feb 2, 2017
- 187
- 404
- Thread starter
- #161
Umenena vyema nduguKafata kondoo walio potea ha ha haaa
Umenena vyema nduguKafata kondoo walio potea ha ha haaa
Upo sahihi mpendwa ktk BwanaWala kuikaribia haifai
Kwa uwezo wa Roho mtakatifuInawezekana kabisa kijana kutofanya ngono mpaka siku ya ndoa,tatizo vijana wengi wanafuata mkumbo
Usifanye dhambi ukitegemea utatubu, usipopata neema ya kutubu utakuwa wapi? Nani ajuaeye siku zake za kuishi????mchungaji hata nikitubu zambi hii sitasamehewa kwa Mungu
Ukimtizama mwanamke ukamtamani...tayari utakuwa umeshazini nayeKabsa mkuu, na uzinzi ni dhambi , Mungu alisema usizini
Huu mwili nyumbani kwake ni hapahapa duniani ila Roho ndiyo ipo safarini. Sasa tunapaswa kutokuongozwa na mwili.Yaani unajua kabisa kua ni dhambi lakini mwili unashindwa kuikimbia dhambi...
Shetani anaremba sana vitu vyake, vinakua vitamu ila mwisho wake ni mauti.
Game za nje ndiyo nini? Acha zinaa kijanaWe hujawah piga game za nje??
Pamoja na kulemba kwake kote lkn bado ni dhambi na hakuna ujanja zaidi ya kuachaYaani unajua kabisa kua ni dhambi lakini mwili unashindwa kuikimbia dhambi...
Shetani anaremba sana vitu vyake, vinakua vitamu ila mwisho wake ni mauti.
Hakika,umenena vyema mkuu, mwili ni mavumbi na mavumbi utarudi lkn roho itaishi mileleHuu mwili nyumbani kwake ni hapahapa duniani ila Roho ndiyo ipo safarini. Sasa tunapaswa kutokuongozwa na mwili.
Mwili hauna cha kupoteza.
Wanaousikiliza mwili wameishia kuwa maskini na kuharibikiwa kabisa.
Ha ha ha utakuta hata jukwaa la wakubwa yupoIla huyu mchungaji Mimi ninawasiwasi nae alifuata nini MMU
Mtumishi hivi kupima oil na kuzama chumvini kwa wanandoa ni dhambi pia?Pima lkn usisahau kuwa ni dhambi
Unaposema kupima oil na kuzama chumvi sikuelewi naomba nieleweshe kwanzaMtumishi hivi kupima oil na kuzama chumvini kwa wanandoa ni dhambi pia?
Jukwaa la wakubwa ndo lipi hilo?Ha ha ha utakuta hata jukwaa la wakubwa yupo
....ni dhambi haufaiUzinzi
ukifanya nje ya *ndoa* haliitwi *kuzini* linaitwa *uasherati*ukifanya nje ya *ndoa* haliitwi tendo la ndoa ila ni *kuzini*.
Kama ndiyo hivyo tuambie kuzini ni kufanyaje?ukifanya nje ya *ndoa* haliitwi *kuzini* linaitwa *uasherati*
kuzini najua ni pale wanandoa wameoana alafu mmoja anaenda kufanya nje ilihali mke wake au mume wake yupo.Kama ndiyo hivyo tuambie kuzini ni kufanyaje?
Kufanya hivyo ni kufanya nje ya ndoa au ndani?kuzini najua ni pale wanandoa wameoana alafu mmoja anaenda kufanya nje ilihali mke wake au mume wake yupo.