Emmanuel PM
Member
- May 11, 2017
- 5
- 5
Ha ha ha
Ukiwa mchungaji wewe kanisa lako lote watakuwa wazinziYes!..... Umenipa wazo zuri sana, ubarikiwe katika jina la yesu binti mwema!
Hawa mapasta wa siku hizi bhana....Mchungaji bwana asifiwe, umeoa?
Amen.Yeyote anayefanya tendo la ndoa nje ya ndoa anafanya jambo linalomchukiza Mungu...acha Mara moja
Wamefanyaje?Hawa mapasta wa siku hizi bhana....
We huoni.?Wamefanyaje?
mkeo tu.Mbadala wake ni nini?
Sawa naanza kukuombea tangu sasaMchungaji naomba uniombee nipate mume mwema toka kwa Mungu
Nimekuja kuwanasua kwenye uzinziIla huyu mchungaji Mimi ninawasiwasi nae alifuata nini MMU
Tumefanya kijana?Hawa mapasta wa siku hizi bhana....
Ndio maana unaleta habari hizi...Mchungaji owa kwanza then uje na mada kama hiiHapana bado sijaoa Evelyn Salt
Umejibu vyemamkeo tu.
Ndugu lengo ni kukusaidia uache uzinzi ...sijafundisha somo la ndoaNdio maana unaleta habari hizi...Mchungaji owa kwanza then uje na mada kama hii
mambo Leah? Amini utampata ila uwe tayari kumpokea atakayeletwa kwako na Bwana.Mchungaji naomba uniombee nipate mume mwema toka kwa Mungu
Sema tutakwenda Sio watakwendaNa kwa dhambi hii wengi watakwenda jehenamu