Usikubali kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa

Usikubali kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa

Kutamani pia ni kosa
Pengine mleta hoja hata Tamaaa huwa hana
Hongera Kwake

Tumekosa sisi
Tumekosa sisi
Tumekosa sana

Ndio maana...Tunakuungamia....

Basi..hatutafanya makosa..tena
Tunafanya kitubio
Tunaomba nemma yako
Tupate kupona
 
Ukifanya mapenzi nje ya ndoa na usipo muoa au kuolewa bas nguvu zako za asili ulizo pewa na Mungu zimepotea...Ndoa haiji kutengemaa isipokuwa kwa Holly Ghost. You lost your aural energy.
 
Back
Top Bottom