Usiku mwema

Usiku mwema karena yani nasema hiviiiii

tukutane kwenye kikao chetu kesho,nahitaji wasaa na wewe

mdogo angu asiesalimia wa kubwa bi kidude wangu,mama maria nyerere

Wakujiita SweetieLee uwe na usiku mwema,naomba shkamoo yangu niikute mezani kesho nikirudi.
 
Mdogo wangu mpendwa,
Usiku mwema kwako, Natumaini umekwishasali mdogo wangu mzuri mzuri.!!
Mungu akulinde.!

Na kuhusu shikamoo, huwa nasalimia tu wakubwa zangu, mdogo wangu itabidi tu usubiri.!
 
Usiku mwema mdogo wangu mpenzi.. C'ssy anakupenda jamani,
Mungu akulinde eeh'..!!
Asante dada angu mpenzi, nakupenda pia na uwe na usiku mwema pia...

Usisahau kusali kabla ya kulala pia usiku wa manane ukiweza amka ukamate malango ya usiku ili adui asipande magugu ndani yako...

Love you C'ssy
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom