Usiku mwema

Hua mwafanyaje ili kufahamiana na watu wote hao...
ni humu humu mkuu kuna mitaa trust me hujawahi igusa Humu JF

siku utakapoigusa utajuana na wengi zaidi,we uwe una zurula bwana

lakini kingine penda kila mtu,ongea na kila mtu no matter unmjua umemzoea hujamzoea

ilimradi hujamsema kwa ubaya just show him/her yupo in ur wanted list,Spread love show them Actions.

Usiku mwema Da'Vinci
 
Usiku mwema kila anae sinzia saa hiii

Usiku mwema mnaoenda kazini time hii

Usiku mwema mnaobadilisha Shift time hii
 
Back
Top Bottom