Usiku mwema

lol siyo simu tu yaani ukitumia app ni majanga kwenye suala zima la notifications,, karibu kwenye uzi wa selfie ututumie picha..

Usiku mwema na kwako pia CONTROLA CONTROLA,

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Karma,kesho ntakuja kuwasalimia huko kwenye selfie kuwapa tupicha tuwili tutatu

japo inatakiwa uwe na screen recorder mana ntazfuta after 30sec 🤣 🤣 🤣

Ulale salama Karma
 
Back
Top Bottom