Usiku mwema

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,989
Hii ndio thread ya mwisho baada ya kuhangaika mchana mzima kwenye thread tofauti, humu ndiyo pakumalizia na kuagana.

Sina jipya wala la ziada, ninavyomaliza andika hi thread mjue kuonana kesho tena.

Komenti yangu ya mwisho itapatikana thread hiiii, kama ifuatavyo.

"usiku mwemeni woteeee"

byeee

see youuu.

Mjifunze kuaga ndipo mlale.
 
Back
Top Bottom