🤣🤣🤣🤣🤣 dah! Emu ulale salama
DepalUsiku mwema Depal nisaidieni kumtag namkubali sana uyu kiumbe japo amenkazia pm yake
Dogo 🤣🤣🤣
Yes kuna nyakati unamkumbuka tuEti leo nimeona mama yangu kaweka status "hakuna kitu kigumu kuishi bila mama"
Jamani na ana wajukuu sasa khaaa nikamshangaa
Sent using Jamii Forums mobile app