Usifungue thread hii utani huu siyo

Huuuuh ! Huu mpododo umenipa namba ya kobota nini ? Mbona nikipiga inakata!
 
Twende twende,ndo maana ulizaliwa bar ukaitwa tusker.
 
muone kwanza kiuno ka mbwa akata kona, ndo mana mamako changu,babako deiwaka ukazaliza chokoraa! haya kôjoa ukalale na ukikataa nakuongeza!
 
muone kwanza kiuno ka mbwa akata kona, ndo mana mamako changu,babako deiwaka ukazaliza chokoraa! haya kôjoa ukalale na ukikataa nakuongeza!

una sura imekunjamana ka nyama ya goti ....sura mbaya ka nyuma ya sufuria ...twende twende ..
 
ndo mana kwenu kuchafu mpk mende wanapaogopa! we mwembamba mpk ukisimama ukutan mtu anafikir ni ufa au nyumba imecrack!

....umepasuka nyayo hadi mmeo cku moja moja anatjisahau...anadhania ndo uk*..
 
Bure kabisa!vifupa vya uso vimejitokeza na vigumu kama makalio ya nyani.
 
Siku zote jitahidini kufuata instruction....... wewe uliyefungua thred hiii

" Mashavu ka sidiria!!!!"

Wewe ujajiona nini? Embu kachukue kioo kwanza ujiangalie. Ndio maana una pua ndefu kama filimbi ya mchawi.
 
muone kwanza kiuno ka mbwa akata kona, ndo mana mamako changu,babako deiwaka ukazaliza chokoraa! haya kôjoa ukalale na ukikataa nakuongeza!
mi sjafungua,imefunguka bahati mbaya,ila akili kama ya baba ake riz, twende twende,huna thamani kama bia iliyo flate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…