Usifungue thread hii utani huu siyo

Usifungue thread hii utani huu siyo

Ndo manaa mrefu mpka unaona jana...mfupi mpaka ukikaaa kweye piriton migu inaningnia
Una nywel moja unalilia kwenda saluni
Mlipka wali mkfunga mlango na pini

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Siku zote jitahidini kufuata instruction....... wewe uliyefungua thred hiii

" Mashavu ka sidiria!!!!"

twende twende twende,ndo maana we mnene mpaka ukipakwa rangi ya njano kwa mbali watu wanasema school bus,ukipakwa nyekundu watu wanakuja kutoa m-pesa!
 
ndo maana babu yako mzee.mpaka alikuwa gardener wa Eden.
 
ndo maana kwenu wengi.mpaka Babu yako akiingia anasalimia Hamjambo wananchi!
 
ndo maana kwenu mna nyumba ya nyasi.wezi wakija wanawaambia.fungueni mlango au tulete ng'ombe?
 
inavoonesha kabla ya kupost thread hii ulikuwa umefumuliwa marinda
 
Back
Top Bottom