Usifungue thread hii utani huu siyo

Usifungue thread hii utani huu siyo

imejick na kufunguka.....macho ka umebanwa na mlango...ndo maana chapa punga wewe.
 
unasoma nin sasa kione unamaneno ya shombo kama umekuvywa maji waliyodekia choo cha cdm
 
Mwenyewe lione vile sura mzuriiii ka'bibi harusi vile!
 
Muone kwanza ndo maana, unauchogo kama ncha ya bamia..
 
muone ndomana mama yako ni mzee mpaka cheti chake cha kuzaliwa kimeexpire...
 
Kweli tuliofungua humu ni matahira ingekuwa bomu tushakufa. hee wewe bado unaendelea kusoma ndo maana ulifeli ukaishia levo uliopo!!!?
 
Nyinyi nyte cwo waone vìle muna miili(mwili) km mbirimbi mbovu mkiguswa tu mna2mbuka...ha ha.. ..
 
Back
Top Bottom