Usifungue thread hii utani huu siyo

Usifungue thread hii utani huu siyo

Twende twende,mashavu kama mimba ya panya,twende sasa,nywele mojamoja kama mkutano wa nzi...
 
waone kwanza ndo maana mna mecury vichwani.
 
muone kwanza mwembamba hadi ukisimama stand/kituoni konda wa daladala anasema hatupakii miwa kwa daladala.
 
twende, twende..
maskio ka popo bawa aliyewagonga watu wa mbagala!!
 
Back
Top Bottom